Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Haki vile wakati huu unashindwa mchana kweupeeeee we subiri tar 28 uone Halima kwaheri ya kuonana
 
Mwanamke anawakimbiza kinoma yaani kuanzia waumini hadi askofu
 
Hafai kabisa huyu tena kawe hata kwa siku moja hatumtaki halima mdee
 
Huyu Dada ni kiongozi wa maneno na sio wanadharia ila tulichelewa tu kumgundua na ametumia ubabe sana ktk kutoa sera
Tukilinganisha fedha za miradi na jinsi fedha zilivyotumika na kile kilichotenda utagundua ni wizi mtupu.
 
Jiandae kumwagiwa povu.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Inabidi sauti zege aeleze hizo hela kapeleka wapi
 
Halima upo vizuri kwenye swala la utapeli ila sisi ni wajanja zaidi yako tumekugunduwa.
 
Daaa kuna wakati nakuwa disappointed kuona mwanamke anashindwa kuleta maendeleo na anakuw mbinafsi.
 
unaaidi alf utekelezi unaishia kushiba wewe na tumbo lako amakweli wewe ni mwizi mzoefu
 
Dah halima unawaibia hadi wananchi wako kawe hatukutaki wakati huu
Mimi nimkazi original na mzawa wa kawe maeneo ya huku ni mabovu sana na mengine hatarishi kwa maisha ya watu hasa kipindi cha mvua
Waamini wa gwaji boy kazini tatizo kawe ni waelewa ongeni mengine huku mtatoa povu mpaka damu sasa ni hivii Halima hana mpinzani wengine wasindikizaji
 
Yaani hela anazo halafu akashindwa kutekeleza nimeamini kwa kweli hata kama tukimpa miaka themani awe mbunge hawezi kufanya maendeleo yoyote
 
Ungeona aibu basi ukaficha huu uongo uliotuandikia kwenye hicho kitabu chako.
 
Huyu Halima ubunge ulimshinda tangu enzi za Kikwete kama anataka tumchague aseme leo atawezaje kuziondoa kero za wananchi wa kawe kwa miaka 5 na wakati kakaa miaka 10 bila kutekeleza?
 
unafanya wa fanya biasha wa samaki wanafanya biashara zao kwa ugumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…