Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Yani halima mdee wakati huu ametia pilipili kwenye macho asijue kuwa watanzania wote wameamka hasa wakawe tukitaka maisha bora.
 
Kawe kwa miaka 10 tumeongozwa na tapeli mwanamke octobar 20 hatumuhitaji tena tunamchagua Gwajima.
 
Ukiwa mtu wa kudanganya unatakiwa kuwa na kumbukumbu yaani halima sauti zege aliahidi vitu kwa watu wa kawe kama kutengeneza barabara na miradi mingine na hajatimiza hata kimoja halafu kwenye kitabu chake cha chadema kaandika kashatimiza ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni
 
Wanakawe tumeamua kuanza na huyu mama kwanza awezi kutufanyia wizi wa kijinga hivi
 
Hilima mdee sasa amekose ametia pilipili machoni asijue wananchi sasa wanaakili na wanakawe wanataka mabadiliko.
 
U
Ukiona unawiwa kumchagua mdee ujue na wewe ni jambazi mwenzake
 
Usipostaajabu ya Osama utayaona ya Halima jike dume
 
Hakuna namna yakutudanganya na pipi saizi tunayaka chakula tuna njaa ya maendeleo
 
Yani halima mdee wakati huu ametia pilipili kwenye macho asijue kuwa watanzania wote wameamka hasa wakawe tukitaka maisha bora.
Amenusa ugoro ni mwendo wa kupiga chafya ,,,,,,,,,,,,, ninge kua mm ndo halima ninge andaa makazi mkoani mapema ili ikifika tarehe 28 tu jioni napanda ndege naenda kujificha uko
 
Wewe wasema sasa kama unalijua hlo kelele za nin si ukae kimya
 
Mwandishi wa nakala hii alifanya hivyo kutuonyesha kuwa halima mdee ni kiongozi zuzu kama angepitia angeona hayo makosa na inamaanisha haya niyakutunga
 
Na wewe endelea kumtetea Huyo dume jike lako haujakatazwa
 
Waumini wa gwajiboy taabu sana, ila mda si mrefu na nyie mtarishwa majani, naona eti wenyewe mnaona mmejipanga eti mnafanya mashamburizi, poleni sana, yaani sasa hivi mmewaamsha hata wale walikuwa wamelala.
 
Mdee ni tapeli watu wa Kawe muepukeni.
28 Octoba fanya maamuzi sahihi, mchague Gwajima anatosha.
 
Halima unatuonyesha ni namna gani wewe sio mfuatiliaje wa taatifa wala sio mtekelezaji ila amejaa ujanja ujanja wakuunga alafu anataka kutuongoza tena hatukupi kalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…