Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

Hauwezi kuelewekana watu wenye mihemko na akili za kufuata upepo wa kimakundi.
 
Well said Mkuu
 
Mbowe alikuwa na three investments tangu enzi hizo.

1. Zitto Kabwe

2. Halima Mdee

3. John Mnyika

Hawa ni uwekezaji wa kwanza kabisa wa kisiasa wa mbowe.

Bila shaka alikuwa na matumaini kuwaachia chama hapo baadae kadri wanavyo mature politically.

Two investment turned to losses and disappointment.

Kabakiwa na investment moja (mnyika).

Sijui kama mnyika analielewa hili kwamba he is there to take full control of the party in near future.

Because he is the only dear son(politically) of mbowe.after the two rude kids went away.

Vijana wa chadema acheni tamaa mbowe hatoa mwenyekiti milele nyie ndio future ya hiko chama hapo baadae.

Inasikitisha sana.
 
Hivi kwa walichokifanya kina Mdee na wenzake unakichukulia poa?

Hivi ingekua ni jeshini wangekuwa wapi sasa hivi hao kina mama yeyoo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha weeee!!!
Yaani Mdee yupo sahihi na ndiye anapendwa na watanzania kuliko makajanja yenu ya NGO iliyokufa. Kwa taarifa yako Mdee sasa ni maarufu kuzidi huyo mwenyekiti wenu gaidi wa hicho ki NGO chenu, na tena asubiri DPP atalifufua file afungwe
 
Yaani Mdee yupo sahihi na ndiye anapendwa na watanzania kuliko makajanja yenu ya NGO iliyokufa. Kwa taarifa yako Mdee sasa ni maarufu kuzidi huyo mwenyekiti wenu gaidi wa hicho ki NGO chenu, na tena asubiri DPP atalifufua file afungwe
Mdee anapendwa na babako labda

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuwa na muda wakati freeman aliwaita mbele waseme kama ni uongo
Lakin kamanda kiboko 😀😀😀 "eti kama wanabisha haya ni uongo waje waongee hapa mbele" ss sijui halima angeenda ingekuwa ni mabishano au vp
 

Halima Mdee, Kwanini Mbowe kuzungumza na Mume wako?​

 
Siasa za hii nchi ni 'comedy' tupu

Yoda Matola Frank Wanjiru Maghayo
 
Hivi kweli Kwa uchaguzi ulivyovurugwa na Halima mwenyewe kukamata wizi WA kura, na baada ya yote hayo anakwenda kujiunga na watesi wake na huku anataka asionekane ni msaliti!! Hiyo Dunia ya hivyo Bado Mungu hajaiumba
 
Unachukua lijitu unalipa ubunge uwaziri then Uraisu af linaanza kusakama kwamba wewe fisadi unawaza gamba nk, binaadamu habebeki anateleza tu
 
Halima nakuonya kaa kimia, tena funga mdomo, hujui kwamba chama kikubwa kuliko yoyote ila elewa hakuna aliefurahi moyoni kukupoteza katika chama ,Kama sio ujinga na ulimbukeni wako tena baada ya kuwa na mafanikio kisiasa lakini pia nguvu kubwa uliotumia kujenga chama, achana na hao wapumbavu wengine ,

Nakushauri achana na malumbano ya kijinga kaa na tafakari , utapata jibu lipi la kufanya kuliko malumbano yasiyokua na tija

Wakati umetoka gerezani ulimleta mpaka mzee ,baba YAKO unafikili anajisikiaje moyoni hata Kama hawezi kukwambia maana ni mwanae ,kaa kimia nasema
 
Una akili ya kimasikini. Utapata taabu sana ukiishi kwa kutegemea watu. Hujajifunza tu kwa Ndungai na Sabaya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…