Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

Tz ndio maana haitoboi kwasababu ccm haitaki kuwatupa mafisadi, wezi na wasaliti kwa sababu walitumia nguvu nyingi kuwajenga
 

Utamtunza mtu anayekisaliti chama?chama kilikuwa kwenye kipindi cha mpito,yeye akaenda Bungen na akina mama wengine wakala kiapo,
 

Unajua maana ya kutunza watu au unabwabwaja tu.Kutunza watu maana yake kuwapatia nafasi ambazo wanazo nyingi tu eg RC,DC.................
 
Umemsahau Sugu hapo, ilo amenitamkia kwa mdomo wake kwamba Freeman ndio amemshawishi muda mrefu kujiunga Chadema ila Sugu hakuwa interested lakini baada ya kukutana na unyanyasaji wa kins Ruge kwenye deal ya Marelia no more ndipo aliporudi kwa Mbowe na kukata shauri.

Ukitaka kumjuwa vizuri Freeman ni mtu wa namna gani kaa na Wilfred Lwakatare atakueleza.

Kuna wakati chama hakina pesa na mambo yanatakiwa yaende hapo ndio unajuwa Freeman ni kichwa cha aina gani.

Jaribu kuwauliza watu huo mkutano wa baraza umegharimu sh ngapi kukodi ukumbi, kulipa posho wajumne, nauli na malazi, je Chadema hii ina hizo pesa kwenye account?

Siku Mbowe atastaafu Chadema ndio utaona wanafki wanavyommwagia sifa, Bob Makani alishindwa kukijengs hicho chama no money ikabidi amuachie Freeman.
 
Umeshaanza kujamba, Sophia Simba na Benard Membe walifukuzwa na Chadema?

Msome baba yako wa Taifa hapa.

 
Membe alifukuzwa na Jiwe
 
Hii ndio picha halisi ya wanasiasa wa kiafrica,tumbo zao first,kwa mfano hao cdm wakishawatoa kina mdee hao watakaowachagua kwenda bungeni wataenda kwa matokeo ya uchaguzi ule ule walioukataa hadi mdee akajipeleka bungeni au kutakua na uchaguzi mwingine!
 
Tutarithisha watoto wetu tabia za ajabu na haswa unongo na uzandiki
Halima mdee anataka kupata sypmath kwa jamii akijua fika kuwa alikosea !
Kukataa offer ile kwa wakati ule ilikuwa ni ngumu , ila kuongopa kwa wakati huu ni ngumu zaidi pia !
 
Chukua four cousins..popote nitalipa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hili ni funzo. Alianza Zitto, wakaja kina Lijuakali na leo Mdee. Hapa unafundishwa kwamba hata ndugu unatakiwa kwenda naye Win-Win situation
 
Hata wangeachwa ni sawa tu. Zchadema haiwalipi chochote tunaoumia ni wananchi pesa zetu zinachezewa.wangeachwa tu baada ya miaka mitano wanaondoka zao.kwanza hakuna jimbo lolote wanawakilisha binafsi naona hakuna impact yoyote zaidi ya kutuumiza wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…