Heeeee ,endelea kuamini kuwa mbowe anaweza fanya maamuzi yoyote bila baraka ya baba mkweKwa hivyo watu wanne ndio CHADEMA. Nilitegemea ungeniletea list ya Baraza la wadhamini, kamati kuu, Halmashauri kuu, viongozi wa Kanda etc. Unalitea majina ya watu walishastaafu Tena hawana maamuzi kwenye chama.
Mbowe ndiyo anaiendesha mahakama,au umeamua kuanika matope yako hadharani?Braza sawa ila nasukumwa kuamin hivyo. Mdee hana ubavu huu wa kuipelekesha chadema. Alishindwa Zitto, nin Mdee? Huu mchezo Mbowe ndio Refa anajua kinachoendelea
Unaonekana una akili sana,hebi tuambie umesaidia nini nchi hii kwa akili yako?Chadema ina wapumbavu wengi
Mbowe kakiua chama ambacho kakipigania maisha yake yote, hadi kakifikisha kwenye hatua nzuri kabisa ya watu kuanza kukifikiria kuwa mbadala wa CCM.Mimi nilishtuka Sana kipindi kile Halina Mdee na wenzake wanaapishwa. Halina Mdee anamshukuru Sana mwenyekiti wake wa chama kwa kuwakubalia. Ingawa chama kilikanusha , ila nilipata wasiwasi Sana
Ukitaka kukijua hiki chama vizuri fuatilia movement za mzee mbowe na chawa wake Godblss LemaKwa hivyo watu wanne ndio CHADEMA. Nilitegemea ungeniletea list ya Baraza la wadhamini, kamati kuu, Halmashauri kuu, viongozi wa Kanda etc. Unalitea majina ya watu walishastaafu Tena hawana maamuzi kwenye chama.
Naona hukumu imejikita kwenye technicality zaidi kuliko kwenye kufukuzwa uanachama. Sijasoma hukumu nzima kuona mambo yaliyokuwa raised na Chadema yamejibiwa je maana kulikuwa lile la kufoji sahihi na barua nadhani. Je, mahakama imesema ilikuwa sahihi au imesemaje? Kama kuna mwenye hukumu nzima angeiweka hapa na ingetusaidia sana.Kumfukuza mwanachama wa chama chochote kile siyo kama kumfukuza mfanya kazi.
Hususan ikiwa anatowa michango ya chama ya hali na mali.
Wanachama huwa wanafinywa kiaina wajiudhuru wenyewe.
Sasa jigubeli kama halima mdee utalifinya nini ambacho halijawahi kufinywa?
Bado ni wanchama baada ya baraza kuu kunajisi maamuzi ya kamati kuu
Chadema ina wapumbavu wengi
Kurudia inamaana gani kwenye kichwa chako ewe ziro?Nani kashindwa. Mahakama inataka Baraza kuu lirudie procedure.
Hivi ile michango wanayokamua wananchi maskini kwenye mikutano unafikiri ni hela ndogo?embu fikiria ruzuku ya bilion mbili kila mwezi na hata ofisi hawana ?cdm ni zaidi ya ngombe wa maziwa.
Ukitaka kukijua hiki chama vizuri fuatilia movement za mzee mbowe na chawa wake Godblss Lema
Wewe unajua wanapokea shilingi ngapi tusahihishe Mangi wangu MkuuAiseeh! Tangu lini CHADEMA ikapokea bilioni mbili kwa mwezi?. Kwanza unajua hata CCM yenyewe haipokei Ruzuku ya bilioni mbili kwa mwezi?. Tuache kutunga mambo ya uongo
Edwin Mtei ndio mwanachama namba moja BosiNenda ukafuatilie waasisi wa CHADEMA ni akina nani, achana na stori za akina Lema waliohamia juzi kutoka TLP. Wajute kwanza waasisi wa CHADEMA usipende kuongea mambo juujuu. Na kwa taarifa yako CHADEMA ilianza kuungwa mkono Kigoma baada ya kuwa chama Cha kwanza Cha upinzani kushinda ubunge mwaka 1992.
Ukisoma vizuri hukumu utaona kwamba mahakama imejikita kwenye technicality zaidi kuliko kwenye kufukuzwa uanachama. Sijasoma hukumu nzima kuona mambo yaliyokuwa raised na Chadema yamejibiwa je maana kulikuwa lile la kufoji sahihi na barua nadhani. Je, mahakama imesema ilikuwa sahihi au imesemaje?
Sasa wewe ukimwangalia mchaga unashindwa kumtambua?Wewe ndio mkabila. Tangu lini sura ya mtu ikamtambulisha kabila lake? Punguza unafiki
Akil haijakukaa sawwa kuelewa inner games zinachezwa vipi mdogo angu. We kaa kwa kutulia kwa kushapalia surface information. Sisi wengine tuna tazama beyond.Mbowe ndiyo anaiendesha mahakama,au umeamua kuanika matope yako hadharani?
Lowassa alivokuja chadema mlimnunua kwa sh ngapiYule jamaa ndio kaleta yote haya. Kaharibu uchaguzi mkuu kakimbia kwenda kuwanunua akina mdee. Aiseeh Dunia haina haki.