Heeeee ,endelea kuamini kuwa mbowe anaweza fanya maamuzi yoyote bila baraka ya baba mkweKwa hivyo watu wanne ndio CHADEMA. Nilitegemea ungeniletea list ya Baraza la wadhamini, kamati kuu, Halmashauri kuu, viongozi wa Kanda etc. Unalitea majina ya watu walishastaafu Tena hawana maamuzi kwenye chama.