Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mm siyo mwana sheria. Kwa manufaa ya watu wengi hapa jamvini naomba wewe utuambie chadema hawakufuata sheria wapi? Na je mpaka leo wapo bungeni mpaka leo kwa makosa ya chadema?Uanachama wa chama cha siasa ingawasio unajiunga kwa uhuru na kuondoka kwa uhuru, ila sio kama mapenzi mkipendana mnaoana, mkichokana mnaachana.
Ukimchoka mpenzi unamtimua utakavyo na ukimchoka mke unamtaliki as you wish, lakini mwanachama wa chama cha siasa, huwezi kumtimua tuu unapojisikia au bila kosa lolote, na kukitokea makosa, katiba za vyama zimeweka taratibu za kufuatwa hata katiba ya Chadema imeweka, kwanini hawakufuata katiba yao?.
P
Vinginevyo tutakuwa tuna tweza sana elimu zetu kwa kujadili mambo ya hovyo kama haya