mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Kwasababu wanaume wenyeqe ni hamas. Basi hiyo ardhi itarudi tu, haijarishi itachukuwa muda ganiAnataka ardhi kua na akili waisrael walikua wanataka sana kumega ardhi utahaira wa Hamas October 7 wameokota dodo chini ya mwembe washachukua Ekta zaidi ya 980 mpaka Sasa .
Mimi ninachojiuliza kwani hao wapiganaji wa Hamas na viongozi wao hawawezi kujichanganya kwa raia na kuondoka rafah? Mbona kama utakua ni mchezo wa kujaza maji kwenye tenga?? Kama wakijichanganya na raia je IDF inaweza kuwatambua?? Mkuu msaada tafadhaliIsmail Haniyah na wenzake walioko Qatar wameona wakubali ili kumlainisha Israel astop rafah invasion maana pale ndo ngome kubwa ya hamas iliyobakia ambayo haijafumuliwa na Israel na ambayo ina viongozi na wapiganaj kibao wa hamas wamejificha na kingine wapalestina wanaikimbia rafah hivyo suala la kuwatumia raia kama ngao nalo limeshindikana hivyo viongoz wa hamas waliopo qatar wamechanganyikiwa
Kama iliyochukuliwaga isharudi na hiyo itarudi pia. Uwajui wayahudi unawasikia tu.Kwasababu wanaume wenyeqe ni hamas. Basi hiyo ardhi itarudi tu, haijarishi itachukuwa muda gani
jamaa wanabiti ila tena ndio waoga balaaa 🐒Wanakumbi.
🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH
Taarifa Rasmi ya Hamas:
"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi wapatao milioni moja na nusu na watu waliokimbia makazi yao, na onyo lake kwa watu kuondoka maeneo ya mashariki mwa mji huo. mashambulizi ya mara kwa mara ya anga na mizinga, ambayo yaliacha mauaji ya raia wasio na hatia, jinai ambayo inathibitisha sisitizo la serikali ya gaidi Netanyahu ya kuendeleza vita vya maangamizi.
Dhidi ya watu wetu.
Operesheni yoyote ya kijeshi huko Rafah, haitakuwa picnic kwa jeshi la uvamizi la fashisti, na upinzani wetu shupavu, unaoongozwa na Brigedi za Qassam, umejitayarisha kikamilifu kuwalinda watu wetu, kumshinda adui huyu, kuharibu mipango yake, na kuzuia malengo yake.
Tunatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha uhalifu huo unaotishia maisha ya mamia kwa maelfu ya raia wasio na ulinzi wakiwemo watoto, wanawake na wazee.
Pia tunatoa wito kwa mashirika na mashirika ya kibinadamu, yanayoongozwa na UNRWA, kubaki katika maeneo yao katika mji wa Rafah na kutouacha, au kutii matakwa ya uvamizi wa kifashisti."
Chanzo: Hamas Rasmi tg
View: https://x.com/marionawfal/status/1787454652931264898?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Una nguvu unataka jjumuiya za nini pambafyu pambaneni mtajutaaWanakumbi.

Wanaomba jumuiyaaa Israel haaiitaji jumuiya hao maulana zenu waliowatuma wataujenga huo mjiijamaa wanabiti ila tena ndio waoga balaaa 🐒
Waliweza kwasababu walikuwa na sapoti kubwa sana. Sasahivi mambo yanabadilika sana nduguKama iliyochukuliwaga isharudi na hiyo itarudi pia. Uwajui wayahudi unawasikia tu.
Ovyoooo udiniii unakutesaaa pambafuu wewee pigaaa mpaka mjue Israel n nani pambafuuUmesoma shule gani ya Kata hapo Uyole? Yahudi jeusi halijui hata kuandika😀
Utakufa na umasikini njoo kwa Yesu nyama...Umesoma shule gani ya Kata hapo Uyole? Yahudi jeusi halijui hata kuandika😀
“However, you must not let any living thing survive among the cities of these people the Lord your God is giving you as an inheritance. You must completely destroy them – the Hethite, Amorite, Canaanite, Perizzite, Hivite, and Jebusite ….” (Deut. 20:16-18)Ovyoooo udiniii unakutesaaa pambafuu wewee pigaaa mpaka mjue Israel n nani pambafuu
Wewe mlokole wa JF usiwe punguani mabwana zako wanapigana na watoto na kuvunja majengo, wewe ambao ujifurahishi waambie mabwana zako wakomboe mateka wao leo zaidi ya miezi 7 hawajui walipo.Andika ujifurahishe, upate amani. Hamas atachapwa kokote atakachojificha.
Kuna aina 5 za wafuasi wa Israeli:Utakufa na umasikini njoo kwa Yesu nyama...
Hatari sana.Israel ni gaidi la kimataifa
Hapo mwanzo pia hawakusubiri ushauri wako.Wana njia nyingi za kuwapiga chenga IDF na kuendeleza mapambano.Wanatembea juu na chini ya ardhi.Mimi ninachojiuliza kwani hao wapiganaji wa Hamas na viongozi wao hawawezi kujichanganya kwa raia na kuondoka rafah? Mbona kama utakua ni mchezo wa kujaza maji kwenye tenga?? Kama wakijichanganya na raia je IDF inaweza kuwatambua?? Mkuu msaada tafadhali