HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

Ndio umejitutumuuua kuandika samahani ila umeongea utumbo mtupu

Hii Pro Palestine protests ni za nini hasa? Maana Hamas inashinda vita! All I can see is just a contradiction! Mimi nadhani Maandamano hayo ingekuwa ni kupongeza Ushindi wa Palestina! Gaza inabakia magofu, Hamas kapata alichokitafuta! Hata ICT court haitasaidia chochote kile! Urusi ilipelekwa huko na Ukraine hakuna lililofanyika!

Kinachokesha sikitisha, mataifa ya Kiarabu yako 22, na mengine yana uwezo mkubwa wa Kijeshi...yamebakia na matamko tu! Waarabu ni watu wa ajabu sana, huo ndio Ukweli mchungu Bwana Utam!
 
Toka lini magaidi wa kizayuni na shosti zake mkawaonea huruma watu wa Palestine

Pambaneni na hamas acheni kuonea onea watoto enyi magaidi

Watoto wa Magaidi si Mgaidi pia...! October 7 Mlichagua...unasahau mlichukia hata watoto! Kweli Mkuki kwa nguruwe!
 
Unadhani kabla ya vita ya hamas na israhell ya hapo juzi hapo ghaza walikua wanaishije

Ghaza umaarufu wake inajulikana kama jela yawazi unajua kwanini?

Hamas wako sahihi kabisa kheri ufe ukipambania chako kuliko kukaa tu chako hukipati na kufa unakufa

Israhell kuua kashazoea hata jenin kule na west bank kila leo wanaua watu bila sababu na hakuna hamas kule kuna fatah

Sasa unataka umuelewe israhell Waisrahell zaidi ya mauaji ya watu wasiokua na hatia hawana wanaloliweza
 
Watu hawaandamani kwa sababu ya hamas kwanza uelewe

Watu wanaadamana kwa sababu ya watoto na watu wasiokua na hatia wanaouliwa

Unaambiwa kuna hamas wanaokadiriwa 30k ila mpaka sasa wamekufa watu 23k kama wote hamas kama inavyodai israhel kwasasa kusingekua na hamas tena mpaka leo

Hayo mataifa ya kiarabu unayoyasemea hayana msaada wowote sababu hata wao uwepo wao mamlakani unawategemea hao hao marekani na israhell

Mfano mdogo misri al sisi alimpindua mursi kwa msaada wa marekani na kila mwaka misri inapokea zaidi ya million 700 dola za msaada wa kijeshi toka Americant unategemea watafanya nini hawa na huko kwengine pote napo vivyo hivyo kama misri

Ambae hapokei hongo houthi na Hizbullah na walau umeona wamejitutumua na bado wanajitutumua
 
Watoto wa Magaidi si Mgaidi pia...! October 7 Mlichagua...unasahau mlichukia hata watoto! Kweli Mkuki kwa nguruwe!
Watoto wa magaidi ni magaidi pia kwa sheria ipi

Tuseme sawa upo sahihi watoto wamagaidi ni magaidi haya watoto wamagaidi wapoje

Hakuna cha mkuki kwa nguruwe wala kwa mbuzi
 
Uvamizi ulifanyika mwaka 1948
 
Baada ya kupelekewa faya kuna meli ngapi zimeenda israhell na kutoka

Hakuna meli itapita kuelekea ama kutoka israhell mpaka ghaza iwe huru wazayuni wa jf muelewe
 
Lengo lilikua israhell na idf waje ghaza na kweli wamekuja

Kwasasa wanachinjwa tu mmoja mmoja mpaka kieleweke
 
Israhell labda muwaheshimu ninyi wazayuni wa jf
 
Kuteka wayahudi zaidi ya 1000 🤣🤣
 
Kuna brainwashing ya hali ya juu mno! Hakuna facts za history......Hata haileweki ni imani ya dini au nini.....Kelele ni occupation....genocide ya Gaza tu......Wanalianzisha wanashindwa kulimaliza....
Dini iko wapi

Labda wewe ndio unataka kuleta udini hakuna aloleta udini
 
Dini iko wapi

Labda wewe ndio unataka kuleta udini hakuna aloleta udini

Unakimbia udini Mkuu....Umesoma Charter ya Hamas lakini.... Hii Brainwashing ndio unaoindesha Hamas.....Rudia tena Hamas Charter

Article Six:​

The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinian movement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life is Islam. It strives to raise the banner of Allah over every inch of Palestine, for under the wing of Islam followers of all religions can coexist in security and safety where their lives, possessions and rights are concerned. In the absence of Islam, strife will be rife, oppression spreads, evil prevails and schisms and wars will break out.

How excellent was the Moslem poet, Mohamed Ikbal, when he wrote:

"If faith is lost, there is no security and there is no life for him who does not adhere to religion. He who accepts life without religion, has taken annihilation as his companion for life."
The Universality of the Islamic Resistance Movement:

Article Seven:​

As a result of the fact that those Moslems who adhere to the ways of the Islamic Resistance Movement spread all over the world, rally support for it and its stands, strive towards enhancing its struggle, the Movement is a universal one. It is well-equipped for that because of the clarity of its ideology, the nobility of its aim and the loftiness of its objectives.

On this basis, the Movement should be viewed and evaluated, and its role be recognised. He who denies its right, evades supporting it and turns a blind eye to facts, whether intentionally or unintentionally, would awaken to see that events have overtaken him and with no logic to justify his attitude. One should certainly learn from past examples.

The injustice of next-of-kin is harder to bear than the smite of the Indian sword.

The Islamic Resistance Movement is one of the links in the chain of the struggle against the Zionist invaders. It goes back to 1939, to the emergence of the martyr Izz al-Din al Kissam and his brethren the fighters, members of Moslem Brotherhood. It goes on to reach out and become one with another chain that includes the struggle of the Palestinians and Moslem Brotherhood in the 1948 war and the Jihad operations of the Moslem Brotherhood in 1968 and after.

Moreover, if the links have been distant from each other and if obstacles, placed by those who are the lackeys of Zionism in the way of the fighters obstructed the continuation of the struggle, the Islamic Resistance Movement aspires to the realisation of Allah's promise, no matter how long that should take. The Prophet, Allah bless him and grant him salvation, has said:

 
Watoto wa magaidi ni magaidi pia kwa sheria ipi

Tuseme sawa upo sahihi watoto wamagaidi ni magaidi haya watoto wamagaidi wapoje

Hakuna cha mkuki kwa nguruwe wala kwa mbuzi

Ni kwa sheria ya Hamas Mkuu....Waliweka wazi October 7! Mkuki ulipogeuziwa upande kuelekewa kwao, wao wakaona ni Genocide! Unashindwa kabisa kuona logic na thinking ya Hamas...! Wamejitakia Nakba nyingine! Inasikitisha sana!
 
Baada ya kupelekewa faya kuna meli ngapi zimeenda israhell na kutoka

Hakuna meli itapita kuelekea ama kutoka israhell mpaka ghaza iwe huru wazayuni wa jf muelewe

Mkuu kwa ufupi tu Gaza inakaliwa upya....Ni Nakba nyingine ya kujitakia....Tusubiri Intifada nyingine.....Mapka leo, hii ndio taarifa...

The demonstrations are part of a “global day of action for Palestine” and to call for an end to the bloodshed that has killed 23,843 people and wounded more than 60,317, according to Palestinian health officials.

Ni Nakba Bwana Utam......Kila kukicha idadi inaongezeka...Na Sinwar na wenzake huko Qatar hata hawalioni hili.....Kweli Jihad ni kitu kibaya....!
 
Hapa hatuijadili chata ya hamas mzee tunajadili uvamizi wao

Ukiniletea chata ya hamas na mm ntakwambia ukatafute mahojiano ya balozi wa israhell pale London mwezi ulopita ukamsikilize aliongea nini

Hamas kama wakiamua kua na dini kwenye nchi yao kwani ubaya uko wapi si wameamua wenyewe

Mbona wazungu wanaamua kua na sheria za ushoga na usagaji

Au kipi bora kati ya dini kuendesha sirikali ama sirikali kuutambua usagaji na ushoga

Hizo propaganda za bei rahisi
 
Ni kwa sheria ya Hamas Mkuu....Waliweka wazi October 7! Mkuki ulipogeuziwa upande kuelekewa kwao, wao wakaona ni Genocide! Unashindwa kabisa kuona logic na thinking ya Hamas...! Wamejitakia Nakba nyingine! Inasikitisha sana!
Sasa wanao andamana dhidi ya mauaji ya watoto wa gaza sio hamas lakini inakuaje unawalinganisha hamas na hao waandamanaji?
 
Naqba pale Palestine ilianza rasmi mwaka 1948 au umesahau

Nahaitaisha kama kutakua na israhell pale ilipo

Ndio maana hata kule jenin na west bank watu wanauliwa na kukimbia makazi yao kama ghaza tofauti ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…