cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Naqba pale Palestine ilianza rasmi mwaka 1948 au umesahau
Nahaitaisha kama kutakua na israhell pale ilipo
Ndio maana hata kule jenin na west bank watu wanauliwa na kukimbia makazi yao kama ghaza tofauti ndogo sana
Hapa hatuijadili chata ya hamas mzee tunajadili uvamizi wao
Ukiniletea chata ya hamas na mm ntakwambia ukatafute mahojiano ya balozi wa israhell pale London mwezi ulopita ukamsikilize aliongea nini
Hamas kama wakiamua kua na dini kwenye nchi yao kwani ubaya uko wapi si wameamua wenyewe
Mbona wazungu wanaamua kua na sheria za ushoga na usagaji
Au kipi bora kati ya dini kuendesha sirikali ama sirikali kuutambua usagaji na ushoga
Hizo propaganda za bei rahisi
Kwamba unabisha kua israhell hawajakwapua ardhi ya watu ama?Unaijua UN Partition Plan, Resolution 181 ya 1947! Au unabwabwaja tu Mkuu!
Israhell labda muwaheshimu ninyi wazayuni wa jf
Doh pole mzeeHata Charter ya Hamas imekuwa ni Propaganda.....Kweli iko shida....Labda hata hujui Hamas ilianza lini Mkuu.....! Huku ndio tunaita kuwa Brainwashed!
Unalopenda mzee kuwa huru yaaniSisi ni Wazayuni wa JF.....Je wewe tukite nani.......Jihadist wa Hamas......? Tupe jina sahihi Mkuu!
Kwamba unabisha kua israhell hawajakwapua ardhi ya watu ama?
Unalopenda mzee kuwa huru yaani
Doh pole mzee
"But we will oppose truth to vanity, and it shall confound the same; and behold, it shall vanish away." (Prophets - verse 18).
Hamas kama ALLAH vileHamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000?
Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu mwaka 1967 na kuikalia kimabavu bila kujali nani anasema nini.
Hii ni kusema kuwa ukiwakandamiza sana kwa muda mrefu watu unaodhani ni dhaifu na wanyonge kwakutumia uwezo, maguvu, mamlaka na hila iko siku watu hao "dhaifu" watakuwa wakakamavu kwako na pengine kukushinda vibaya sana. Watawala tendeni haki kwa raia wenu, wazazi tendeni haki kwa watoto wenu, walimu tendeni haki kwa wanafunzi wenu, wachungaji tendeni haki kwa waumini wenu maana iko siku watu wenu watainuliwa na kubuni mbinu mpya ya kuwaangusha.
Kwamba unabisha kua israhell hawajakwapua ardhi ya watu ama?
Bwana Utam:Doh pole mzee
Hapa hatuijadili chata ya hamas mzee tunajadili uvamizi wao
Ukiniletea chata ya hamas na mm ntakwambia ukatafute mahojiano ya balozi wa israhell pale London mwezi ulopita ukamsikilize aliongea nini
Hamas kama wakiamua kua na dini kwenye nchi yao kwani ubaya uko wapi si wameamua wenyewe
Mbona wazungu wanaamua kua na sheria za ushoga na usagaji
Au kipi bora kati ya dini kuendesha sirikali ama sirikali kuutambua usagaji na ushoga
Hizo propaganda za bei rahisi
Bwana Utam:
Unasema "Hapa hatuijadili chata ya hamas mzee tunajadili uvamizi wao" Ni Uvamizi upi unaouzungumza hasa? Maana 1948 Ni Waarabu Mataifa matano ndio Israel! Na Wakaivamia tena Israel 1973......Na Wameivamia tena October 7! Ni uvamizi gani mkuu unaouzumngumzia!
Yaani kesi ya mbuzi unampa fisi? Kama ingekuwa rahisi hivyo, USA angewajibishwa na mahakama hiyo ya ICC kwa vita za Iraq, Afghanistan. Mnapigwa changa la macho kuwa ICC anaweza kubadili chochote na Israel ikawaogopa Hamas, Hezbollah.Hata hujui kitu wewe kuhisu Hamas. Hamas no wapalestone kwao no heri ya kufa kuliko kuwa chimi ya wayahudi, hawaogopi kufa hata kidogo. Hata walivyoivamia Israel walijuwa kuwa Israel itawaua watu wengi sana Na walijua kuwa Israel itafanya hivi inavyofanya sasa lakini Hamas imefanikiwa sana kuwaua wayahudi wengi pamoja Na kuunganisha ulimwengu ambao ulikaa kimya juu ya mateso yao yanayotokana Na udhalimu wa Israel. Leo hii kesi ya kuwatetea wapalestine iko The Hague, ICC,
Pole sana, Mungu awanusuru wapalestina, nchi yao imeisha, kila nyumba ni msiba, hamas wamekamatwa na kuvuliwa nguo mchana kweupe, sasa huo ushindi wa hamas uko wapi? Acheni ujinga, tuwaonee huruma watu wa palestinian, ukificha nyoka au moto lazima ukuchone, kama Israel wangeingia Gaza bila upinzani kutoka kwa hamas, majibizano ya risasi basi tungesema hiyo vita ni batili, lakini unatafuta mateka unashindiliwa risasi halafu anayekushindilia risasi anakiambia kujificha kwenye shule, msikiti,kanisa na hospitali hapo hamna namnaUliwaona hamas wanaandamana sehem gani
Uliwaona hamas wanaenda icj sehem gani
Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
Uliwaona hamas wameenda ICJ [emoji848]