Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

The BBC refuses to call Palestinian children, children.

The BBC refuses to call Palestinian children, hostages.

Apparently, only the brutal European colonizers have children, and only Israelis can be viewed as hostages.
 
Kwani wewe bikra yako ulitolewa lini? Unamkumbuka aliyekutoa ? Mzee wa uharo yake ilitollewa Kericho na Mmeru.
Namkumbuka na demu aliyenitoa bikra na sehemu yenyewe pia. Wewe mtoto ni hasara kwa taifa letu kwa kweli, mshukuru baba yako tu kuuza nchi yetu kwa wachuna. Ulikuwa unanyongwa wewe kwa ujinga wako wa kuuza madawa. Hivi umeacha au bado upo upo tu.
 
Namkumbuka na demu aliyenitoa bikra na sehemu yenyewe pia. Wewe mtoto ni hasara kwa taifa letu kwa kweli, mshukuru baba yako tu kuuza nchi yetu kwa wachuna. Ulikuwa unanyongwa wewe kwa ujinga wako wa kuuza madawa. Hivi umeacha au bado upo upo tu.
😂😂😂 umekataa kabisa kumtaja aliyekutoa bikra daah
 
Mkuu, Hamas inaonyesha wana ufadhili mkubwa sana, kuwa na mji chini ya ardhi sio jambo dogo.

Kuchimba njia za urefu wa 500km chini ya ardhi ni sawa na kutoka Moshi klm hadi Dar
"Necessity is the mother of invention".
 
binafsi natamani wapalestina wangeendelea kuishi kule jela, kwasababu leo wametoka, inaweza isichukue muda watapigwa mabom au bunduki ya waisrael, watakufa bure, sasa bora nini? vita bado inaendelea.
Unaelewa maana ya "shaheed"?
 
Unaelewa maana ya "shaheed"?
naelewa sana. ni doctrine ambayo mood aliwadanganya inayowafanya mnakufa mkiamini mnaenda pazuri, kumbe mnaenda motoni moja kwa moja pamoja na mood mwenyewe. natamani Mungu awafungue macho mjue hili.
 
Unasimama hivyohivyo kama ambavyo ulisimama niliposema.

Kwamba?

"Ila likelihood ya hiyo karata kufanikiwa kipindi hiki ni ndogo sana."

Hebu uuangalie tena halafu uangalie na picha hizi kisha jipige kifuani mara tatu ukipenda kujipongeza:

"Unasimama hivyohivyo kama ambavyo ulisimama niliposema."

IMG_20231125_075348.jpg


IMG_20231125_075500.jpg
 
Hamas wasifanye kosa la kutaka kubadilisha mateka wa Israel kwa wafungwa wao.Hiyo ni faida ndogo sana kwa faida kubwa wanayoweza kupata kwa kuawashikilia mateka walionao mpaka mwisho
Masharti yao yawe mawili
Shartila mwanzo ni kuachiwa raia wote wanawake na watoto kwa kusitishwa vita na kurudishwa huduma zote za kijamii.
Shari la pili ili kuachiwa askari na mateka waliobaki ni kurudisha nyuma askari wote walioingia Gaza.

Masharti hayo yatasaidia kwa muda tu kwani Israel si watekelezaji wa ahadi
.Hamas katika kipindi cha mwaka mmoja waangalie mwenendo wa kuundwa kwa serikali ya Palestina yenye mamlaka kamili na bila kuweka shinikizo la kumpa madaraka Mahmoud Abbas.Kwa maana Hamas wawe ni sehemu ya serikali hiyo.
Kama masharti hayo hayatotekelezwa waweke wazi kuwa wataandaa shambulio jengine kama la Oktoba 7.
Yaani wewe na Keypad yako unajua kuliko HAMAS wenyewe walioko field na wana uzpefu wa miaka zaidi ya 20.

Wafanye watakavyo na walivyopanga
 
Israeli" container ship was attacked by drone yesterday in the Indian Ocean after leaving UAE port
 
The Israeli owned ship attacked by Shahed-136 in the Indian Ocean belongs to Idan Ofer

The fourth wealthiest man in Israel

His company Eastern Pacific Shipping operates a fleet of 210 bulk, container and crude oil ships.

After this drone attack, the insurance costs for his shipping company are expected to rise exponentially.

Already 2 Israeli billionaires have been hit where it hurts the mos
 

Attachments

  • IMG_6779.jpeg
    IMG_6779.jpeg
    46.7 KB · Views: 1
Hivi vita vinapiganwa kwa mbinu tofauti sasa hivi Israel meli zao hawajui wafanyeje njia rahisi kupitia Yemen.
Meli inayomilikiwa na Israel iliyoshambuliwa na Shahed-136 katika Bahari ya Hindi ni mali ya Idan Ofer

Mtu wa nne tajiri zaidi katika Israeli

Kampuni yake ya Eastern Pacific Shipping inaendesha kundi la meli 210 kwa wingi, kontena na mafuta yasiyosafishwa.

Baada ya shambulio hili la ndege zisizo na rubani, gharama za bima kwa kampuni yake ya usafirishaji zinatarajiwa kupanda kwa kasi.

Tayari mabilionea 2 wa Israel wamepigwa ambapo inaumiza mos
 
Face of Zionist VS Hamas.
 

Attachments

  • IMG_6780.jpeg
    IMG_6780.jpeg
    69.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom