Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Iran kuwasaidia Palestine ni sera ya mambo ya nje ya Iran sio mapenzi ya rais anaekuwa madarakani kwa wakati husika.
Sera hiyo huweza kubadilika kidogo kutokana na ombwe la mabadiliko ya uongozi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran pamoja na Rais wamebadilika. Wanaokuja wana kazi kubwa kujipanga kwanza internally na kidiplomasia kabla hawajawawaza Wapalestina. Kwanza Rais wa sasa ni wa mpito, nchi iko kwenye tension kuelekea uchaguzi.

Wanachofanya Hamas ni sawa na Marekani wawe kwenye uchaguzi mkuu alafu nchi ndogo mshirika ianzishe vita ikitegemea support yao.
 
U
Yaweza kuwa military technique ili ajipe kibali kuipiga kama alivyofanya gaza. Yawezekana kuna operationa anataka kuifanya Rafah lakini anashindwa kutokana na masuala ya kibinadamu iqla kwa jambo hilo ataonekana ni counter attack atapiga mpak mpaka ngamia ili akamilishe mission zake kwa kisingizio zha kupigwa Tel Aviv
 
Hizo fikra zako unazoengea israel chini ya Marekani na Ulaya akitaka kufanya jambo lolote hamna wa kumzua wala kuomba kibali kama alivyofanya Rafah, waliambiwa Rafah siyo pikinikπŸ˜€
 
Mkuu nawaonea huru wapalestina lakini njia walio amua kuitumia kudai haki zao haya ndio matokeo yake

Wewe endelea kuamini Israel haiana inachofanya zaidi ya kupiga watoto na wakinamama
Watakapo maliza shughuli yapo pale Rafah ndio utajua hujui

Time will tell
 
Israel ni takataka tu. Kama inachukua karibia mwaka ku deal na wahuni walioko kwenye kamji kadogo kama kijiji siku wakikutana na jeshi kamili siwatasambazwa kama kinyesi tu.
Huwa mnachukulia vita ni rahisi sana. Congo mpk leo wanapigana na M23.
Hata zikiungana nchi zote za kiarabu hawawezi kuipiga Israel. Usiandike kwa mihemko.
Russia vs Ukraine imechukua muda gani?
 
Hizo fikra zako unazoengea israel chini ya Marekani na Ulaya akitaka kufanya jambo lolote hamna wa kumzua wala kuomba kibali kama alivyofanya Rafah, waliambiwa Rafah siyo pikinikπŸ˜€
Gaza mpk Rafah imebaki magofu. Tangu lini pikinik ikafanyika sehemu yenye magofu?
Nilitegemea kipindi Israel imetangaza vita, Hamas wangekaa mpakani kuwazuia wasiingie Gaza na Rafah hivyo hivyo.
Endelea kujifariji, waarabu siyo wa kuwaonea huruma.
Nenda Sudan, km unaowaita waarabu wenzako RSF watakuacha hai kisa muislamu mwenzako
 
 
Nenda Sudan ukakutane na waarabu wanaojiita Rapid Support Force (RSF) ambao ni waislamu wenzako kama watakuacha hai.
Waislamu weusi km wewe wanauliwa kwa wingi hapo Sudan.
Hapo ulipo ukienda Tunisia, waarabu wenzako wanakufuza km mbwa utawaharibia kizazi chao.
 
Wakati israel inapiga wanawake na watoto Wanaume huwa wanakuwa wapi?
 
Embu lete ushahidi wa uyasemao.
Maana nikikumbuka so far 2006 alipigana na wanamgambo waliokamilika wakamtoa damu akakimbia na kuacha vifaru pale Lebanon.
Je tangu wakati huo Israel imefutika. Hata huyo Mungu wenu mwarabu anaogopa Israel
 
Siwatetei israel, japokuw wapo under international pressure currently, wana deal na vitu vingi. Ila hili wanapofanya hamas wanampa israel nafasi ya kupata sababu ya kuendelea na kampeni yake. Right now palestine inakaribia kushinda ushawish wa dunia, hamas tu hawatakiwi kuvuruga hili kwa kuwapa israel sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…