Hamas watumia fursa ya vita vya Israel na Iran kuwakimbiza askari wa IDF huko kusini mwa Gaza

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel hasa maeneo ya kusini mwa jimbo la Gaza.

Katika matukio ya hivi karibuni ni kuwakimbiza askari wa Israel maeneo ya Khan Younis na kmuua mmoja wao pamoja na kuwajeruhi wenzao kadhaa,

Nguvu hizo za ajabu za wapiganaji wa Hamas zinakuja huku askari wa Israel wakielekeza masikio na nguvu zao kubwa katika vita vipya walivyovianzisha na taifa la Iran.

Wakati huo huo wanaharakati kutoka nchi 80 duniani wanaoelekea mpaka wa Rafah na wameazimia kupambana kidiplomasia na vikwazo vya Misri kuwazuia wasifike eneo hilo.

Tayari kundi linalokusudia kufanya hivyo limeshakuwa na kufikia watu 4,000.Mmoja ya wanaharakati hao ambaye tayari yuko maeneo ya Misri ni Nkosi ambaye ni mjukuu wa Nelson Mandela aliyekuwa mtetezi mkubwa wa Palestina.
 
Nililifikiria hili.
Sasa ni muda wa Hamas nao watumie fursa ku regain territory.
 
Wako macho na makini sana.Wamechoka kuonewa.
askari wa Idf wamechoka na jeshi la Israel limesema lina upungufu wa askari 14000.Ni kiburi tu lakini hawawezi kupigana na kila mtu mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom