HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

Nimeshakuambia hakuna vita isiyokuwa na vifo Wala majeruhi huko Russia kwenyewe vifo na majeruhi havikosekana tena yy anapiga kutokea mbali sembuse IDF walioamua kuingia nyumbn kwa magaidi?

IDF wanasonga mbele ndio, Niko naangalia Aljazeera muda huu wanasema Khan Younis ngome kuu ya Hamas imezungukwa na IDF, vita vilianzia Southern Israel watu wakala kichapo wanakimbilia Gaza wanaume wakawafuata huko huko wakaanzia north Gaza wamesafisha wakaja Gaza City msako ukaendelea na sasa watabe wapo Khan Younis southern Gaza kama sio kusonha mbele ni nini?
Habari umeanza itizama jana wewe.
IDF akati inaingia Gaza iligawanya infantry sehemu tatu.
Northern Gaza,Central Gaza na Southern Gaza.
Hapo Khan younis hawajaanza leo kufanya mashambulizi na askari moja wapo waliopunguzwa ni wa hapo hapo khan younis.
Hata wale askari wakike walitekwa hapo hapo khan younis.
 
Hakuna sehem khan younis imezungukwa.
IDF imeshapunguza idadi ya askari Gaza.
Hayo masharti hayakua rafiki kwa Neta pussy cat kwasababu yanasema Hamas ibaki uongozini ndio kitu Neta pussy cat hakitaki.
Khan younis kaa la moto kwa IDF .
Tatizo unasubir mpaka uende masjid ukapewe taarifa kuhusu kinachoendelea Gaza, fungua Aljazeera muda huu ujionee mwenyewe usipende kuhadithiwa
 
Tatizo unasubir mpaka uende masjid ukapewe taarifa kuhusu kinachoendelea Gaza, fungua Aljazeera muda huu ujionee mwenyewe usipende kuhadithiwa
Ninaifuatilia aljazeera kuliko wewe kijana.
Khan younis IDF alianza kufanya mashambulizi toka November kijana.
Na askari wengi kapotezea hapo kuliko sehem zingine za Gaza.
 
Nimeshakuambia hakuna vita isiyokuwa na vifo Wala majeruhi huko Russia kwenyewe vifo na majeruhi havikosekana tena yy anapiga kutokea mbali sembuse IDF walioamua kuingia nyumbn kwa magaidi?

IDF wanasonga mbele ndio, Niko naangalia Aljazeera muda huu wanasema Khan Younis ngome kuu ya Hamas imezungukwa na IDF, vita vilianzia Southern Israel watu wakala kichapo wanakimbilia Gaza wanaume wakawafuata huko huko wakaanzia north Gaza wamesafisha wakaja Gaza City msako ukaendelea na sasa watabe wapo Khan Younis southern Gaza kama sio kusonha mbele ni nini?
Acha urongo kijana.
Russia ina majeshi ndani ya Ukraine.
Ukraine ni jeshi kamili kijana.
Hao IDF wangekutana na Ukraine sahizi tungeongea mengine.
Russia inapambana na jeshi lenye all sorts of millitary capabilities mpaka field commandos.
IDF inapigana na wanamgambo wasio na silaha za uhakika na wasio hata na mafunzo ya uhakika.
Utafananishaje hivyo vitu?
 
Pole sana yahudi mweusi wa Ifakara,Hamas wanaua IDF wenye mafunzo na sio raia wasio na hatia,

Kwa hiyo wewe ukisikia Yahudi kaua raia au kuvunja majengo ndio unahesabu wapalestina wangapi wanauawa?

Hapa tunaongelea wanajeshi kuuawa na sio wanawake na watoto,

Naona yahudi mweusi wa Ifakara umeumia sana ila Wayahudi hawakutambui wala hawaitambui dini yako.
Nimekuelewa! Ngoja niachane na huu ukristo....nafanya mchakato nisilim ili nifukuzie wale bikira 72.
 
Idadi imepanda sasa ni 31

Israeli Army Radio:

The number of dead officers and soldiers announced is uncertain and more families are being informed (there are more than 31 dead Israelis).

The moment the building containing Israeli soldiers exploded
Netanyahu atafute njia nzuri ya kutoka kwenye hii vita la sivyo atawamaliza vijana wote kwenye Jeshi lake. Nimekumbuka maneno ya hekima aliyosema Waziri mmoja wa Hungary alipokuwa anazungumzia mzozo wa Russia na Ukraine. Alisema Viongozi wa nchi za US na Ulaya wanaowapa silaha Ukraine wanadhani wanajeshi wanaopigana ni kama Computer Game hivyo wangependa waendelee kuuona mchezo huo ili waendelee kufurahia wakati yale ni maisha ya watu. Akasema Wanajeshi wanapenda kuishi kama viongozi wanaotoa silaha wanavyoyapenda maisha.
 
Idadi imepanda sasa ni 31

Israeli Army Radio:

The number of dead officers and soldiers announced is uncertain and more families are being informed (there are more than 31 dead Israelis).

The moment the building containing Israeli soldiers exploded
Hapo ongeza sifuri, huwa hawasemi kweli. Nyau katangaza 24:

 
Hatua waliyofikia wapalestina washagundua hakuna aliye salama kama wapalestina elfu25 washauliwa ikiwemo vichanga na wanawake, hawana namna nyingine zaidi ya kupigana, ndiomaana nguvu imekua kubwa sana upande wao wangeungana tangu awali pengine ata izo namba za vifo zingepungua.
Hakuna mwanaume wa kipalestina anaeogopa kifo sasa ivi mioyo yao ishakufa ganzi hawana uoga tena.
 
Rip fallen soldiers. Uwanja wa mapambano haujawahi kuwa mwepesi.

Ila vita dhidi ya ugaidi lazima iendelee Hamna namna
 
Israel wana vituko sana yaani maj general ana miaka 23 hilo jeshi kaingia lini hayo mafunzo mpk kamaliza muda gani ndio maana wana chapika tu hawana uzoefu wowote

Kuna vita ambayo wanajeshi hawafi?
 
Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la Jerusalem Post.

source: Hamas causes buildings collapse - 21 IDF soldiers dead, several injured

------------------------------------------------------------------------------------------------------

Hamas forces on Monday fired a rocket propelled grenade on multiple adjacent structures which, along with landmines which the IDF forces had collected and brought into the buildings, caused a total collapse, which in turn killed 21 soldiers and injured several others.

The incident occurred around 4:00 p.m. in al-Muasi in central Gaza.

In addition, a separate rocket propelled grenade was fired on an IDF tank which killed two IDF soldiers and injured two others.


It was unclear if the soldiers had violated procedures by bringing the landmines into the structures with them and also unclear how much the collapse of the building was caused by the RPG versus the secondary landmines explosions.

The IDF forces who were harmed were mostly reservists assigned to clear certain areas of dangerous items, such as mines.

Rescue activities went on for hours with the brigade commander having been on site from the start of the incident.

It was unclear what happened to the Hamas attackers.


The IDF released the names of 10 soldiers of the 21 that were killed.

Maj.-Gen. (res.) Matan Lazar, 32, from Haifa, a soldier from the IDF's 6261 Battalion, 261's Brigade.

Maj.-Gen. (res.) Hadar Kapeluk, 23, from Moshav Mevo Beitar, and was a Class Commander in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Sgt.-Maj. (res.) Sergey Gontmaher, 37, from Ramat Gan, who was a soldier in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Maj. (res.) Elkana Yehuda Sfez, 25, from Kiryat Arba, was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Yoval Lopez, 27, from the settlement Alon Shvut in the West Bank, a soldier in the 9206 Battalion, 205th Brigade.

Maj. (res.) Yoav Levi, 29, from the city Yehud-Monoson in central Israel, who was a soldier in Battalion 8208, 261st Brigade.

Maj. (res.) Nicholas Berger, 22, from Jerusalem, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.


Maj. (res.) Cydrick Garin, 23, from Tel Aviv-Yafo, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Rafael Elias Mosheyoff, 33, from the town Pardes Hanna-Karkur near Haifa, who was a soldier in the 6261 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Barak Haim Ben Valid, 33, from Rishon Lezion, class comma
RPG HAMAS.jpg


View: https://www.youtube.com/watch?v=_e_eOBLw0Wg&ab_channel=AiTelly



View: https://www.youtube.com/watch?v=DIi5lZVFqPI&ab_channel=TheBuzz



View: https://www.youtube.com/watch?v=blDEHwVUgp4&ab_channel=AIAnalyst




View: https://www.youtube.com/watch?v=Ud8fyPsoGlY&ab_channel=AiTelly



View: https://www.youtube.com/watch?v=XILraSBqC8k&ab_channel=HindustanTimes
 
Back
Top Bottom