Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Una busara sana Mjukuu, hadi nahisi utakuwa umetokea ile Kanda ambayo Rais wa kwanza wa Tanzania alitokea
 
Tusomeni dini ndugu zangu waislamu, maisha ya dunia ni mafupi sana, why wasioane tu!

ΩˆΩŽΩ„ΩŽΨ§ ΨͺΩŽΩ‚Ω’Ψ±ΩŽΨ¨ΩΩˆΨ§ Ψ§Ω„Ψ²Ω‘ΩΩ†ΩŽΨ§ Ϋ– Ψ₯ΩΩ†Ω‘ΩŽΩ‡Ω ΩƒΩŽΨ§Ω†ΩŽ ΩΩŽΨ§Ψ­ΩΨ΄ΩŽΨ©Ω‹ وَسَاَؑ Ψ³ΩŽΨ¨ΩΩŠΩ„Ω‹Ψ§
Al-Isra' (The Journey by Night)
Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.
 
.........kwa nini walikuwa open kiasi cha mke kusmell something fishy, all in all wawe makini, coz haya mambo sometimes huwa yanapelekea kushuka kwa ufanisi wa taasisi au club.........
 
Kumbe na wewe uliusoma ule Uzi eeh πŸ€—

Mimi niliusoma huku nimevaa Msuli kuepusha maana Kila muda network ilikuwa inakuja na kutoka Kwa zile stori πŸ™Œ
Daah! Ila yule tajiri mbahiri kweli

Ila naye bibie anaenda kwa mpalange kwa 120k! Bei local sana.

Hawa wa 120k hata exotic escort Tanzania wengi tu

Ilitakiwa amuuzie ki-VIP
 
Daah! Ila yule tajiri mbahiri kweli

Ila naye bibie anaenda kwa Mpalange kwa 120k bei local sana.

Hawa wa 120k hata exotic escort Tanzania wengi tu

Ilitakiwa amuuzie ki-VIP
Nadhani alikuwa na matarajio makubwa kuliko uhalisia

Hao wa exotic ukienda kichwa kichwa unaweza kupigwa zaidi ya hiyo 120k, niliona watu wakijadili humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…