Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Halafu utakuta ni mzinifu ni mwizi ni fisadi ni mlevi ila anaona waliochora tattoo ndio wabaya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndiye ninayekupa ushuhuda wangu halafu wewe unaleta ujuaji.
Haya simulia kingine kuhusu maisha yangu, maana inaonekana unanijua sana
Wewe ulichora ukiwa tayari kuna namna unataka kuwa, wala hukuwa hivyo baada ya kuchora.

Tangu utoto tunajichora na korosho wala hatukuwa wajinga kama wewe
 
Huo ulikuo uoga wako tu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada hana tattoo lakini ana rekodi isiyofutika ya kufungua ID kwa jina la Gilesi

Tabia hii inaingia kwenye kundi la wahuni, wavuta bangi, matapeli nk..

Halafu anadanganya wenzie
 
Mleta mada hana tattoo lakini ana rekodi isiyofutika ya kufungua ID kwa jina la Gilesi

Tabia hii inaingia kwenye kundi la wahuni, wavuta bangi, matapeli nk..

Halafu anadanganya wenzie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani nini faida ya kujichora hizo tatoo?

Kwa wale wanao amini imani za kidini je maandiko yameruhusu?

Binafsi siwezi kujichora alama yoyote kwny ngozi yangu,kufanya hivyo naamini namkosoa Mungu wangu kwa kuniumba jinsi nilivyo!
Usitahiri
 
Kaka/dada unaamini uwepo wa Mungu?
 
Hizi kauli zako zinathibitisha tattoo ni janga,
Unajua tatizo waafrika kila kitu tunakipima kutokana na kazi, mafanikio ya kiuchumi nk. Latin America tattoo ni jadi. Hatusikii wakiongelea mapepo sijui nini. Kama hupendi tattoo acha, wanaopenda watachora. Kuhusu Mungu, bora uhangaike kwanza na Amri 10 za Mungu kabla hujaanza kuhangaika na minor things.

Mimi ninachokataa ni watu kufanya tattoo kama ni dhambi kuu, lakin unakuta huyo mtu kila siku anafira, anaona poa hamkosei Mungu. Lakin tattoo anaona grave sin. Tunaleta unafiki wa kuchagua dhambi, zile mbaya tunazihalalisha kimya kimya, tusichokipenda hata hata kama ni minor, tunazifungia amplifier!
 
Sidhani kama kuna mtu kasema tattoo ni dhambi kuu
 
Tabia za uchawi ,roho mbaya wivu husuda umalaya Ni tabia za Asili Hazina uhusiano na Tatoo

Mfano Mimi Nina Dada zangu wanavaa ushungi lakini kwao umalaya Uzinzi ni Jambo la kawaida Sana , hivyo Mimi nadhani hukosefu wa MAARIFA ndo unamfanya kuwa na tabia mbovu.
 
Kaka/dada unaamini uwepo wa Mungu?
Watu mnaouliza swala kama hili:-

Mkiombwa reference za katazo juu ya tattoo mnakuja na vitabu ambavyo sio universal (bible na Quraan), vipi kuhusu dini na imani nyingine (zipo nyingi tu) ambazo hazifungamani na hivyo vitabu??

Unadhani kuwa hicho unachokiamini ni universal??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…