Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba amekariri maisha kama mahusiano yangekuwa ndo pesa tu watu wa Hali ya chini wasingekuwa wanafunga ndoaMwanamke wangu kanivumilia huu ni mwaka wa 10 tangu nifilisike, so inategemea na roho ya mwanamke kukuvumilia uwapo huna hela.
Mungu wangu 10 years daaah ana moyo kweli lkn biashara ni changamoto kweli Mungu tusaidieMwanamke wangu kanivumilia huu ni mwaka wa 10 tangu nifilisike, so inategemea na roho ya mwanamke kukuvumilia uwapo huna hela.
Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
Hapana bhanakama huna hela ya nini kuwa na mwanamke.... utajitafutia depression tu
"Tunachokijua"
Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
Tatizo wanaume tuna vichwa viwili. Kichwa cha juu kinaweza kikawa kinatamani kabisa usiwe na mwanamke, halafu kichwa cha nchini kinakuja na msimamo wake thabitikama huna hela ya nini kuwa na mwanamke.... utajitafutia depression tu
Yaani mwanamke aongoze kipato cha familia na asiweke mbwembwe?Mke wa kweli anaweza. Tafuta Mke achana na mwanamke
kweli kabisa nasema, bila pesa nyie malaika wetu mnakuwa mtihani sana.. mnaweza kutuvumilia kwa ku pretend tuHapana bhana
Mnachokijua wewe na nani?"Tunachokijua"
[emoji115] Hakuna mnachokijua zaidi ya hadithi za vijiweni tu.
Sio wote wako hivyoYaani mwanamke aongoze kipato cha familia na asiweke mbwembwe?
Ya kweli hayo?Sio wote wako hivyo
bila pesa kichwa cha chini hakiwi effective sana, kinakuwa kina jishtukia sana 😅😅Tatizo wanaume tuna vichwa viwili. Kichwa cha juu kinaweza kikawa kinatamani kabisa usiwe na mwanamke, halafu kichwa cha nchini kinakuja na msimamo wake thabiti