Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

Best comment of the whole thread... Hawa viumbe ukikaa uwasikilize unaeza dhani ulichelewa sana.. ila mwezi tu unajiuliza hivi huyu ni yule au hiki ni kivuli chake? Na sio hapa jf tu nearly every where wanawake wanajua sana kupretend either ufulie hata usifulie wako na real colour zao...Naungana na wewe 100% mzabzab
Mie nilikuja jua hawa sio nilipofulia nikaambiwa huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni. Yaani wana roho mbaya sana ukifulia.
Aisee tukipata hela tusiache kuwagegeda na kuwatipa kule baada ya kuwala uroda
 
Wanawake wanawake wanatofautiana sana ndo kitu ambacho hujui kila mwanamke ana character zake anazozitaka kutoka kwa mwanaume, wako WANAOPENDA pesa sana, wengine kawaida, wako WANAOPENDA Wanaume warefu, wengine wanapenda wanaume wenye ndefu ni ngumu sana kuja na general conclusion kuhusu wanawakw kwa sababu kila mwanamke ana aina yake ya mwanaume anayemtaka
Uwe tdh, uwe andunje, uwe na six packs au one pack, bottom line ni u need to have money bro kuwala hawa warembo bila stress
 
Huyu mpenzi wangu next week tunamaliza miezi Mitano sina kazi ya kueleweka.

Huwa ananipa mpka hela ya bando.
 
Uvumilivu upo na yako mahusiano yamesimama vyema, wasioweza kuvumilia wengi wao ni wale waoga wa maisha.
Kisaikolojia, mahusiano ya watu wasio na fedha, huwa yanamshikamani mkubwa wa nguvu moja kutafuta mafanikio, ila shida pale wanapotimiza shida hii, uzaliwa shida nyingine inayowavuruga ambayo ni ya Kihisia 'emotional'.
Hii ni shida mbaya kuliko pesa.
 
fafanua hapo kwenye "emotional"
 
Hawa wachungaji wa siku hizi wamekuwa wapuuzi sana. Hawako kwa ajili ya kuponya ndoa za watu bali kuzibomoa kabisa... sasa huyo tapeli kwenye video anavyowakandamiza wanaume wenzie mbele ya wanawake ndo uchungaji? Kunaweza kuwa na sababu nyingi sana za mtu kuyumba kiuchumi... huyo mchungaji mpumbavu aelewe kwamba hakuna mwanaume anapenda kuwa chini ya mwanamke kivyovyote vile ila wakati mwingine maji yanazidi unga. Mimi nimeshaacha kabisa kuwasikiliza hawa matapeli wanaojiita wachungaji, mitume na manabii.
 
Hajamkandamiza mtu, kawahasisha wanaume watafute mapene
 
Ila hukusema swala la mwanamke mzuri in first place hii ni mada mpya tena
Kwani mwanzo nilisemaje..?

Nikisema hisia zao zipo kwenye hela,
ni kwamba ukiishi na mwanamke yeyote, ili afurahie tendo mpe na hela
 
Mimi nikijua mwanamke amependa pesa zangu au kazi yangu siwezi kumuoa kamwe, nataka mwanamke mwenye upendo wa dhati kutoka moyoni, anipende Mimi kama Mimi jinsi nilivyo.
 
Hi
Kuna watu ni wavumilivu!! Miezi 6 yote hiyo😳😳😳
Unazani hizo pesa ndo zitakutomba au zitakupa mimba? Mimi hata
😅😅😅 hata mie nashangaa raia wasio na hela kujihangaisha na mapenzi
Wakijikaza na kujizuia sana Huku mwili unahitaji wataangukia kwenye ulawiti na ushoga, aliyeumba mapenzi kati ya ke na me hakuwa fala, alikua na maana yake
 
Pesa ya kutumiza wajibu na mahitaji yote kwa mwanamke na mwanaume na kama familia pia.. ila sasa ikiwa hela tu ya kujihudumia mwanaume mwenyewe kipengele, mwanamke inakuwaje ? na hapo wanawake wengi wanashindwa vaa viatu wanalala mbele wachache sana wa moyo wa kuvaa viatu na kuendelea kumpa nguvu mwanaume wake hadi asimama... wengi wenu sio wavumilivu
Kikubwa uvumilivu/upondo,
 
Back
Top Bottom