Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

Kwani mnatakiwa muwe na pesa kiasi gani eti??
Pesa ya kutumiza wajibu na mahitaji yote kwa mwanamke na mwanaume na kama familia pia.. ila sasa ikiwa hela tu ya kujihudumia mwanaume mwenyewe kipengele, mwanamke inakuwaje ? na hapo wanawake wengi wanashindwa vaa viatu wanalala mbele wachache sana wa moyo wa kuvaa viatu na kuendelea kumpa nguvu mwanaume wake hadi asimama... wengi wenu sio wavumilivu
 
Hao viumbe hata hisia zao zipo kwenye pesa
 
Kuna wanawake na hela zako wanakukazia vile vile tu Wala hawajiulizi kama wanawake wote wangekua wanapenda pesa watu maskini wasingeoa

Mwanamke anaolewa na maskini sababu ndiyo best options available. Ila kama ana options nyingi za kuchagua hawezi kuchagua mume maskini

Ni sawa na mtu asiye na kazi ni ngumu kuchagua kazi , yoyote itakayopatikana anaikubali
 
Kama nilikuwa nae wakati anazo…na alinifanyia makubwa kwenye maisha…kwanini nisimvumilie?

Nitamvumilia na kumpenda tena nitakuwa nampa na pesa aende bar na washkaji arudi nyumbani.

Ila sasa kama wakati alikuwa anazo alikuwa ananipitisha kwenye majabali ***** 😂😂my friend…tuimbe hallelujah maana kikombe kile kile ulichonipimia maji ndicho hicho hicho nitakachokunywesha nacho wateri.
Hapa ukisoma comment za wanawake wa jf utaweza amini kuwa ni angels kumbe wee weka ndani alafu ufulie ndio utajua kuwa shetani na mwanamke ni pete na kidole
 
Mwanamke anaolewa na maskini sababu ndiyo best options available. Ila kama ana options nyingi za kuchagua hawezi kuchagua mume maskini

Ni sawa na mtu asiye na kazi ni ngumu kuchagua kazi , yoyote itakayopatikana anaikubali
Wanawake wanawake wanatofautiana sana ndo kitu ambacho hujui kila mwanamke ana character zake anazozitaka kutoka kwa mwanaume, wako WANAOPENDA pesa sana, wengine kawaida, wako WANAOPENDA Wanaume warefu, wengine wanapenda wanaume wenye ndefu ni ngumu sana kuja na general conclusion kuhusu wanawakw kwa sababu kila mwanamke ana aina yake ya mwanaume anayemtaka
 
miaka mingi tu mtoto wa watu alivumilia, Huwa nikikumbuka nambless kwa kiasi chochote anachotaka. sina wasiwasi kbisa na uadilifu wake. Nyie wanawake hao mnawatoleaga wapi wakuu.
 
Back
Top Bottom