Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

wapo wanaoweza, hasa kama anakupenda sio tu miezi 6, we jifanye tu mjinga utakula mshahara wake hadi usikie aibu
 
A woman uniting with a man in marriage is essentially the issue of the former mostly DEPENDING ON the later.

A man marries because also he has somehow proved he can provide for himself, his wife-to-be, and children.

A woman marries to a man because she believes in him she would have love, care, protection, and personal growth and full self-expression.
 
Mimi nikijua mwanamke amependa pesa zangu au kazi yangu siwezi kumuoa kamwe, nataka mwanamke mwenye upendo wa dhati kutoka moyoni, anipende Mimi kama Mimi jinsi nilivyo.
Wanaume ndo mostly tunaokosea mwanzo mwa kumtongoza mwanamke tunavimba sana kwa hiyo inapelekea mwanamke akukubalie harakaharaka sababu hukumwambia ukweli

Unakuta mwanaume anaazima gari, anamdanganya mwanamke anafanya kazi nzuri we unategemea nin, mfuate mwanamke mtongoze kawaida akikataa mshawishi akiendelea kukataa achana naye huyo hakupendi, lakin Wanaume wengi wakishaona wanawake wanakataa wanaanza tumia material things ambayo ni fedha alafu baadae wanaanza kulalamika

Nimeongelea Wanaume sababu sisi ndo watongozaji
 
Na ukiona kakuvumilia basi bado hajapata mbadala wako mwenye hela,sasa subiri aje uone
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
 
Back
Top Bottom