Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti jamani!! Huo ujasiri unautoa wapi kwamfano!!kama huna hela ya nini kuwa na mwanamke.... utajitafutia depression tu
Maisha unayeweka kama unavyotaka kama mtu analazimisha wanawake wanapenda pesa kuwa na uhakika huyo mtu anataka wanawake ambao sio level zake kwa huko kukataliwa kunamfanya ajihisi kwamba amekataliwa Hana hela na kunamtengenezea stress ndo anakua na mawazo kama hayo hata ukimuelewesha hawez kukuelewaHela zinaisha mkuu
main pont!Maisha unayeweka kama unavyotaka kama mtu analazimisha wanawake wanapenda pesa kuwa na uhakika huyo mtu anataka wanawake ambao sio level zake kwa huko kukataliwa kunamfanya ajihisi kwamba amekataliwa Hana hela na kunamtengenezea stress ndo anakua na mawazo kama hayo hata ukimuelewesha hawez kukuelewa
Ni nadra sana kukuta mtu mwenye kipato analalamika wanawake wanapenda hela, ni rahisi sana kukuta mtu wa Kawaida kukuta analalamika wanawake wanapenda hela sababu Yuko bize na wanawake ambao sio level yake
Kwenye maisha pambana na wanawake ambao ni level zako
😅😅😅 hata mie nashangaa raia wasio na hela kujihangaisha na mapenziEti jamani!! Huo ujasiri unautoa wapi kwamfano!!
Swali zuri sn.Atoe jibuKwani mnatakiwa muwe na pesa kiasi gani eti??
na mapenzi ndipo yanapo ishia hasa kwa nyakati hizi za kizazi hizi.. wanawake ambao wapo flexibla na hali zote za maisha wachache, wengi wana move na upepoHela zinaisha mkuu
Hakuna anayejua akili ya mwanamke inataka nini, mim ninamjua Kuna mwanamke alikua na shida lakin alimkatalia mtu mwenye hela ambaye alitaka kumuoa, akaja kuolewa na mwanaume wa kawaida, sio wanawake wote WANAOPENDA helaKama mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya hela tu, mbona kuna wanaume "mario" wanalishwa, na kuvishwa, na kupewa kila kitu na wanawake?
Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
Best comment of the whole thread... Hawa viumbe ukikaa uwasikilize unaeza dhani ulichelewa sana.. ila mwezi tu unajiuliza hivi huyu ni yule au hiki ni kivuli chake? Na sio hapa jf tu nearly every where wanawake wanajua sana kupretend either ufulie hata usifulie wako na real colour zao...Naungana na wewe 100% mzabzabHapa ukisoma comment za wanawake wa jf utaweza amini kuwa ni angels kumbe wee weka ndani alafu ufulie ndio utajua kuwa shetani na mwanamke ni pete na kidole
Pale unapoamini kuwa kila mwanamke ni msukule wa shetani.Hapa ukisoma comment za wanawake wa jf utaweza amini kuwa ni angels kumbe wee weka ndani alafu ufulie ndio utajua kuwa shetani na mwanamke ni pete na kidole
Na huu ndio ukweliWanawake wanawake wanatofautiana sana ndo kitu ambacho hujui kila mwanamke ana character zake anazozitaka kutoka kwa mwanaume, wako WANAOPENDA pesa sana, wengine kawaida, wako WANAOPENDA Wanaume warefu, wengine wanapenda wanaume wenye ndefu ni ngumu sana kuja na general conclusion kuhusu wanawakw kwa sababu kila mwanamke ana aina yake ya mwanaume anayemtaka
Same apply Wanaume wakipata hela wanawaacha wale wanawake walioanza nao wanaenda kwa pisi Kali, minaona watu wanawaandama sana wanawake kama vile wanaumeBest comment of the whole thread... Hawa viumbe ukikaa uwasikilize unaeza dhani ulichelewa sana.. ila mwezi tu unajiuliza hivi huyu ni yule au hiki ni kivuli chake? Na sio hapa jf tu nearly every where wanawake wanajua sana kupretend either ufulie hata usifulie wako na real colour zao...Naungana na wewe 100% mzabzab
Nikipata comment kama hii kutoka kwa mwanaume huwa nafarijika sana.miaka mingi tu mtoto wa watu alivumilia, Huwa nikikumbuka nambless kwa kiasi chochote anachotaka. sina wasiwasi kbisa na uadilifu wake. Nyie wanawake hao mnawatoleaga wapi wakuu.