Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

Kama nilikuwa nae wakati anazo…na alinifanyia makubwa kwenye maisha…kwanini nisimvumilie?

Nitamvumilia na kumpenda tena nitakuwa nampa na pesa aende bar na washkaji arudi nyumbani.

Ila sasa kama wakati alikuwa anazo alikuwa ananipitisha kwenye majabali ***** 😂😂my friend…tuimbe hallelujah maana kikombe kile kile ulichonipimia maji ndicho hicho hicho nitakachokunywesha nacho wateri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…