Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

Mie nilikuja jua hawa sio nilipofulia nikaambiwa huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni. Yaani wana roho mbaya sana ukifulia.
Aisee tukipata hela tusiache kuwagegeda na kuwatipa kule baada ya kuwala uroda
 
Uwe tdh, uwe andunje, uwe na six packs au one pack, bottom line ni u need to have money bro kuwala hawa warembo bila stress
 
Huyu mpenzi wangu next week tunamaliza miezi Mitano sina kazi ya kueleweka.

Huwa ananipa mpka hela ya bando.
 
Uvumilivu upo na yako mahusiano yamesimama vyema, wasioweza kuvumilia wengi wao ni wale waoga wa maisha.
Kisaikolojia, mahusiano ya watu wasio na fedha, huwa yanamshikamani mkubwa wa nguvu moja kutafuta mafanikio, ila shida pale wanapotimiza shida hii, uzaliwa shida nyingine inayowavuruga ambayo ni ya Kihisia 'emotional'.
Hii ni shida mbaya kuliko pesa.
 
fafanua hapo kwenye "emotional"
 
Hawa wachungaji wa siku hizi wamekuwa wapuuzi sana. Hawako kwa ajili ya kuponya ndoa za watu bali kuzibomoa kabisa... sasa huyo tapeli kwenye video anavyowakandamiza wanaume wenzie mbele ya wanawake ndo uchungaji? Kunaweza kuwa na sababu nyingi sana za mtu kuyumba kiuchumi... huyo mchungaji mpumbavu aelewe kwamba hakuna mwanaume anapenda kuwa chini ya mwanamke kivyovyote vile ila wakati mwingine maji yanazidi unga. Mimi nimeshaacha kabisa kuwasikiliza hawa matapeli wanaojiita wachungaji, mitume na manabii.
 
Hajamkandamiza mtu, kawahasisha wanaume watafute mapene
 
Ila hukusema swala la mwanamke mzuri in first place hii ni mada mpya tena
Kwani mwanzo nilisemaje..?

Nikisema hisia zao zipo kwenye hela,
ni kwamba ukiishi na mwanamke yeyote, ili afurahie tendo mpe na hela
 
Mimi nikijua mwanamke amependa pesa zangu au kazi yangu siwezi kumuoa kamwe, nataka mwanamke mwenye upendo wa dhati kutoka moyoni, anipende Mimi kama Mimi jinsi nilivyo.
 
Hi
Kuna watu ni wavumilivu!! Miezi 6 yote hiyo😳😳😳
Unazani hizo pesa ndo zitakutomba au zitakupa mimba? Mimi hata
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hata mie nashangaa raia wasio na hela kujihangaisha na mapenzi
Wakijikaza na kujizuia sana Huku mwili unahitaji wataangukia kwenye ulawiti na ushoga, aliyeumba mapenzi kati ya ke na me hakuwa fala, alikua na maana yake
 
Kikubwa uvumilivu/upondo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…