Nilidhani una umri mkubwa, mbona unaandika mambo yasiyo kichwa wala miguu?https://www.facebook.com/Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
Hahaa ni kuwala na kisha 🚮Aisee tukipata hela tusiache kuwagegeda na kuwatipa kule baada ya kuwala uroda
kwani mnapenda sasa nyieKikubwa uvumilivu/upondo,
Wanaume ndo mostly tunaokosea mwanzo mwa kumtongoza mwanamke tunavimba sana kwa hiyo inapelekea mwanamke akukubalie harakaharaka sababu hukumwambia ukweliMimi nikijua mwanamke amependa pesa zangu au kazi yangu siwezi kumuoa kamwe, nataka mwanamke mwenye upendo wa dhati kutoka moyoni, anipende Mimi kama Mimi jinsi nilivyo.