Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

magufuli yupi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mataahira yameona yakimtaja Magufuli kwenye huo uharo wao yatajinasua na lawama?

Ni hivi huo ushenzi wenu kila mtanzania ameuona kwa hiyo hamna kichaka mtajificha
 
Huyo Johari ni laana.

Hajui anavyomsingizia marehemu, ndio mama msaliti wa Tanganyika anazidi kuchukiwa.
Johari ni kichwa cha hayati JPM na ni yeye aliyempa kazi baada ya kuwa amebaniwa kupewa cheo enzi za JK baada ya mkwere kumuidhinisha kwa kusaini barua halafu akairudisha kwa Mwakyembe wizarani.

Huko wizarani wakaiweka barua ndani ya kabati, kama ilivyo kawaida ya nafsi zetu watanzania, roho mbaya.

Alipoingia madarakani JPM, katika mkutano fulani ndio jamaa akawa anamwaga shule kwa kwenda mbele. Hayati JPM akauliza huyu kijana ni nani?.

Akaamua kumpa nafasi ya ukurugenzi wa mamlaka ya anga TCAA, kuanzia hapo wakawa marafiki wawili wakubwa.

Hivyo lengo sio kumchafua hayati kama inavyosemwa katika huu uzi, hayo ni maneno ya kweli kwamba JPM ndiye mhusika mkuu wa suala zima la bandari.
 
Hamza Johari unatoka mkoa gani Tanzania bara?
 

Attachments

  • IMG_0547.MP4
    3.4 MB
Kwani Rostam karudi kipindi cha Samia? Magufuli kabla hajafariki alikuwa Morogoro kufungua kiwanda cha Rostam au ulikuwa umelewa hukuona?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kwahiyo mnakiri Mkataba ni mbovu

Tundu Antipas Lisu asingemmwagia sifa Shujaa Magufuli jana hiyo Joha angenyuti tu!
 
Huyu mbona ni mkurugenzi wa mambo ya anga anahusika vipi na bandari nguvu kubwa sana inatumika kutetea huu makataba
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kwahiyo mnakiri Mkataba ni mbovu

Tundu Antipas Lisu asingemmwagia sifa Shujaa Magufuli jana hiyo Joha angenyuti tu!
Uelewa wa wengi wetu bado upo chini kwenye suala hili. Tatizo wanasheria na wao wana bei zao, ni binadamu kama mimi na wewe, wanapokuwa na sauti kama Tundu Lissu ni rahisi kucheza na mindsets nzima ya jamii.

Hakuna anayesema kwamba mkataba ni mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…