Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

Je wanaweza fanya hivyo bila mjini wa blood sucker _ USA?
 
Nilichoelewa
Huu mgogoro ni wa muda mrefu na ni wa Kidini tangia enzi za Mitume Ndio mana hawa Wayahudi wanetajwa sana kwenye hizi Dini 2. (QUR'AN And BIBLE)
Kama unaifahamu historia na geneology ya hawa wafuatao wala hupati shida ya kujua mgogoro unatoka wapi.
1. Waamori
2. Waamoni
3. WaEdom.
4. Waperizi
5. Wafilisti
6. Washami/Ashuru
7.Waamaleki
8. Waajemi
9. Wamedi

Ikiwa hawa watu huwajui asili, tabia, tamaduni na mila zao tafadhali mjadala wa waisraeli na waarabu jieupushe nao maana huna unachokijua.

Ndio maana hata dunia nzima ikusanyike dhidi ya Israeli bado Israeli itakuwa Mshindi.

Hii itakuwa maada ya siku nyingine. Kwa leo niishie hapa
 
Uislam =ugaidi

Huwezi tenga mafundisho ya kiislam na ugaidi.

Chunguza madrassa uone sumu ambayo watoto wanalishwa.

Wale wa Kisarawe waliotimuliwa na DC mambo ni hayo hayo.


Niliona Madrasa moja USA River Arusha watoto wa umri wa miaka 4 au 3 wanafundishwa karate msikitini kwa kivuli cha elimu ya dini.
 
Hamas ni chama cha kisiasa chenye muelekeo wa Kiislamu; wafuasi wake wanafuata madhehebu ya Sunni.

Kaka waliwaanza wenzao wenyewe 7 0ct walichofanya ni ugaidi,Ugaidi si lazima kundi lijitangaze magaidi Bali matendo Yao,Wanachopata nao au kilichotokea Iran usiku wa Tar 31 ni majibu kwa walichoanzisha wao.

Ningefurahi kama ungejibu maswali yangu mkuu
 
Hawana ujanja hao bila Mmarekani na Muingereza.
Sio hao tu ,nna mashaka imamu kachomwa na fellow Muslims,amekua akiishi Qatar,misri lakini hasomeki,Kaenda Iran kasomeka ,Israel watakua walipewa location au matumizi ya teknologia yalitumika,Inasemekana kaponzwa na Whatsapp

Kama wamemchoma ndugu zake/zenu katika Imani ni jambo jema kwakua Inaonyesha bado Muslims wapenda amani wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…