Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msg sent unakuta watoto wa vigogo hawana uwezo wwt na hawana mchango ktk taifa letu wamesoma shule kwa kodi zetu wamelelew kwa kodi zetu na baadae wameajiriw na wanalipw kodi zetu aka bongo lala ila wanabebwa na mfumo wa ccm # tunahitaji katiba mpya itakayo leta usawa kwa wtz wote#Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa Viongozi wanapata Nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa. Ila ni sababu tu ya Majina ya Watoto wao.
Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, riziwani kikwete,januari makamba,nape nnauye n.k
Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka kuwepo hapo utatafuta mpaka ukome. Ila ndo wapo sababu ya wazazi wao.
Sisi tunaokesha JF kuipigania CCM ni lini tutafika huko? Angalau nasi mtukumbuke jamani MNAPOLAMBA ASALI. KWA SASA MAKAMBA ANASEMA NI KULAMBA ASALI TU KWA KWENDA MBELE.
View attachment 2181892
Makongoro akiwa anapiga speech live on a national yelevision inahitaji ujasiri maana street language za kutosha
Jamaa kitaa sana na anaweza kutoa boko any moment
Kuna maneno kayasema ni deep street am sure hata rais hakuyaelewa...
The man is funny and free soul creature with a bottle of hennessee in his hand.
And deliveredMessage sent
Wameshindwa nini?Hii ichi ya kijinga sana,baba zao wameshindwa,wataweza watoto
FaizaFoxy umerudi Mama?!! Enzi za JPM ulipotea sana,nikajua korona labda imekukorona!!Wameshindwa nini?
hata ningekuwa yeye ningelewa tu kila siku,mshua ni former prez,mother anapewa almost 80% ya mshahara wa Rais sliyepo madarakani,watoto unasomesha US na wengine wanafanya kazi huko USA kwanini usilewe ?..huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watz kwasababu ni mtoto wa Nyerere.
..ndio maana KATIBA MPYA ni muhimu ili wananchi wasiendelee kubeba mizigo kama hii.
Kila mtu anaweza elewa kulingana na tafsiri inayokuja kichwani. Kwani wewe ni Makongoro mwenyewe?Nadhani wengi hamjamuelewa Makongoro. Alicho maanisha ni kwamba kuna mambo mengi wamayafanya lakini hayajulikani, hayaandikwi popote..hivyo watu wanadhani wako hapo walipo kwa sababu ni mtoto wa fulani.
Msg sent unakuta watoto wa vigogo hawana uwezo wwt na hawana mchango ktk taifa letu wamesoma shule kwa kodi zetu wamelelew kwa kodi zetu na baadae wameajiriw na wanalipw kodi zetu aka bongo lala ila wanabebwa na mfumo wa ccm # tunahitaji katiba mpya itakayo leta usawa kwa wtz wote#
Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa Viongozi wanapata Nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa. Ila ni sababu tu ya Majina ya Watoto wao.
Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, riziwani kikwete,januari makamba,nape nnauye n.k
Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka kuwepo hapo utatafuta mpaka ukome. Ila ndo wapo sababu ya wazazi wao.
Umenena. Amini kila safari ina mwisho wake. Tutafika.Sisi tunaokesha JF kuipigania CCM ni lini tutafika huko?
Chonde chonde alimuradi hatulambi kwa mkono mzima😄Angalau nasi mtukumbuke jamani MNAPOLAMBA ASALI. KWA SASA MAKAMBA ANASEMA NI KULAMBA ASALI TU KWA KWENDA MBELE.
Wasije waanze kukuongelea kwenye simu zao😄Hakika wameupata ujumbeMessage sent
Mhh, Mh. kabobeka na mipasho atamwelewa tuMakongoro akiwa anapiga speech live on a national yelevision inahitaji ujasiri maana street language za kutosha
Jamaa kitaa sana na anaweza kutoa boko any moment
Kuna maneno kayasema ni deep street am sure hata rais hakuyaelewa..
Nyabhingi umesahahu kifimbo!The man is funny and free soul creature with a bottle of hennessee in his hand.
Hapo mkuu umedodosa vya kutosha, kama ningekuwa na bakuli la asali, mkuu ningetizama pembeni uchovye na mkono👍🏾Hawa watoto wa Nyerere sio chawa, hawajipendekezi kwa viongozi ili wapewe chakula, baba yao alishawakomaza waishi kibishi toka miaka hiyo. Kwa sasa watawala wanawapa madaraka ili kuficha aibu ya watoto wao au wa marafiki zao wanaowabeba.
Tatizo ni watoto wa hiki kizazi kipya, kilichozoeshwa kuwepo serikalini karibia awamu zote wakiulizwa waoneshe walichowahi kufanya hakuna, na wengi wao wamezoea kubebwa mpaka wanamkasirikia anapokuja asiewabeba, hawaoni aibu.
Wataanza kumchora kwa vikatuni twitter kama vile hii nchi ni ya baba yao, wanajiona wao tu, hawajui kuna watanzania wengine wengi wenye sifa na weledi wa kutosha kushika nafasi walizopo na waka deliver zaidi yao.
Kubebwa kumewapofusha akili zao hawaoni mbele tena, hata wakioneshwa udhaifu wao kiutendaji wanajibu tatizo ni uwaziri wao, ulafi wao umejaa mpaka kwenye akili zao sasa wanadhani kila mkosoaji wao anataka nafasi zao huku "akiuota" urais.
Ndiyo mambo kadhaa aliyoweza kurithi kutoka kwa Baba wa Taifa. Exemplary!Amejishusha sana- very humble .
Ha ha Nangale, hata mbuzi hula Asali! 🤣🤣Wewe ndiye umeelewa hivyo? Bila yeye kusema hilo unafikiri hawa wanao ramba asali kwa urefu wa kamba zao wangeweza sema hilo?
Hayo ameyasemea wapi mkuu, labda tuanzie hapo kwa sasa kabla hatujauangalia mkanganyiko huu kwa undani wake hasa.Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa Viongozi wanapata Nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa. Ila ni sababu tu ya Majina ya Watoto wao.
Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, riziwani kikwete,januari makamba,nape nnauye n.k
Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka kuwepo hapo utatafuta mpaka ukome. Ila ndo wapo sababu ya wazazi wao.
Sisi tunaokesha JF kuipigania CCM ni lini tutafika huko? Angalau nasi mtukumbuke jamani MNAPOLAMBA ASALI. KWA SASA MAKAMBA ANASEMA NI KULAMBA ASALI TU KWA KWENDA MBELE.
View attachment 2181892
Hao wasio walevi wamefanya nini kumzidi?..huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watz kwasababu ni mtoto wa Nyerere.
..ndio maana KATIBA MPYA ni muhimu ili wananchi wasiendelee kubeba mizigo kama hii.
Mzee wa shy isijeukawa hujaiona Asali. Ndio kujisogeza sogeza mbele ya nyuki! Ndio upate hiyo asali!Watu wanafadhiliana !! Kwa kujuana !! Ujumbe umefika !
..huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watz kwasababu ni mtoto wa Nyerere.
..ndio maana KATIBA MPYA ni muhimu ili wananchi wasiendelee kubeba mizigo kama hii.
Punguza chuki ndugu..i agree 100%.
..bora mlevi kuliko makatili na wauwaji waliokuwa wakiteka na kuua ndugu zetu.
Kwani aliomba kazi hiyo mkuu, au alitupiwa tu!..huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watz kwasababu ni mtoto wa Nyerere.
..ndio maana KATIBA MPYA ni muhimu ili wananchi wasiendelee kubeba mizigo kama hii.