Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

Makongoro akiwa anapiga speech live on a national yelevision inahitaji ujasiri maana street language za kutosha...
Makongoro kachukua sura halisi ya mzee.

Tuliwahi kuwa marafiki zamani yaani jamaa is funny as hell.

Huwezi choka kumsikiliza
 
..huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watz kwasababu ni mtoto wa Nyerere.
...
👇🏾
 
..huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watz kwasababu ni mtoto wa Nyerere.

..ndio maana KATIBA MPYA ni muhimu ili wananchi wasiendelee kubeba mizigo kama hii.
watu wengi wamepima alichosema sio alichokunywa, kazi yetu nikutafakari watoto wengi wavingozi wamekuwepo ktk nyakati nyingi wamelifanyia nn taifa?
 
Huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watanzania kwa sababu ni mtoto wa Nyerere.

Ndio maana KATIBA MPYA ni muhimu ili wananchi wasiendelee kubeba mizigo kama hii.
Bora Mlevi kuliko waramba asali
 
Ukisikiliza hayo maneno ya Makongoro alafu mtafakari January Makamba ndo utajua ana fanya sarakasi tu
 
Jamani! Jamani! Jamani!

Yaani Mzee Warioba ajitoe mhanga namna hii kweli, kwa lipi? Mbona mnamtwisha zigo mzee wa watu!

Kwanza ni kwa uwezo gani ambao pengine mnadhani anao?

Huo uwenyekiti wa tume si alipewa tu, kama ambavyo anaweza kupewa mtu mwingine leo…. au alishinda tenda kwa uwezo maalumu!

Pengine mimi simfahamu vizuri, mbali na kuwa Jaji na Waziri Mkuu mstaafu…. ana uspesho gani wa kutingisha mhimili?

Yuko pale kwa maslahi yake na familia, watoto wake wapo kwenye system…. anatuchora tu.

Mwacheni amalizie uzee wake kwa utulivu, hajasahau yaliyowakuta wanzake kina Lowassa na Sumaye.
 
Jumbe Brown mambo iko huku.

Kwa hakika bila katiba mpya wengibe wanapolamba asali, labda wengine ndiyo hivyo tena:

"Mnasema ninapenda wanawake. Sasa mnataka nipende wanaume?" - Makongoro
 
Kama Nape ,yaan utatafuta wizara ya kumpa mpaka ukome.Mwishowe utampa wizara ya habari na michezo.Yaan hata darasa la Sana anaweza kuiongoza.Nape hamna kitu kichwani.Analazimisha tu .
 
Huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watanzania kwa sababu ni mtoto wa Nyerere.

Ndio maana KATIBA MPYA ni muhimu ili wananchi wasiendelee kubeba mizigo kama hii.
Makongoro nitamheshimu kwa kutokuwa na majivuno, ubaguzi na ni mtu anayejishusha kwa watu wote. Wanaomwita mlevi kwani yeye ndiye anayetengeneza pombe. Hana ukabila Wala udini. Ni mpenda watu. Huo aliotoa ni ujumbe kwa wengine wajitathmini Kama viatu walivyovalishwa vinawatosha. Charles Makongoro Nyerere Oyeeeeee! Katiba inahusu Nini hapo?
 
Huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watanzania kwa sababu ni mtoto wa Nyerere.

Ndio maana KATIBA MPYA ni muhimu ili wananchi wasiendelee kubeba mizigo kama hii.
Tusimhukumu kwa ulevi-ulevi wake. Tukifanya hivyo wapo wengi ambao hawatapona kwa kigezo hicho. Mnyonge mnyongeni bali haki yake mpeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…