City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Sure, moja ya strategy ya Israel ni kusupply vifaa hafifu kwa ubora au hatari kwa adui wake.Israel huwa inacheza na supply ya vifaa vya maadui zake. Hata miaka ya 1980s ilimuua mkuu wa kundi la kigaidi kwa kubadilisha simu yake na kumpa yenye bomu. Kisha wakampigia simu, wakatuma drone juu ikanasa amepokea ikaruhusu mlipuko akafariki.
Nimeiona wamepost Wall street journal ni hatari aiseeKumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!
Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??
pager
a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen
Definition of PAGER
one that pages; especially : a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen… See the full definitionwww.merriam-webster.com
View attachment 3098853View attachment 3098855
Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members
Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.
Tuesday 17 September 2024 15:42, UK
Pagers explode across Lebanon 'killing 9' and 'injuring thousands' - including Hezbollah members
Hezbollah leader Hassan Nasrallah previously warned the group's members not to carry mobile phones alleging Israel could use them to track their movements.news.sky.com
But only after united States supplied the israel army..walisuply nini?.. fvcking bogusHao ndio wanajeshi 5000 wa Marekani walioenda vitani. Na ndio ndegevita 250?
Kwani hoja nini!?.. tatizo unakimbilia mbali kiasi unasahau ulikotokaZikiwa za ujasusi haziitwi drone? Mbona zipo surveillance drones kama RQ-4 Global Hawk hazina payload ya mabomu na makombora.
Majeshi kuna attack drone kama Predator na TB2.
Suicide drone kama Shahed, Lancet, Switchblade.
Surveillance na spy kama Global Hawk
Na nyinginezo
😂😂😂😃Mkuu unapotosha tena kuhusu 1973!?Sawa Israel hana askari, ishambulie basi.
Mwaka 1973 wakati Israel ilikuwa na raia milioni tatu pekee ilishambuliwa na Egypt, Syria na wengine. Ilikuwa outnumbered 10 to 1, sembuse leo Israel ina raia almost milioni 10 ishindwe na wanamgambo wa Hezbollah + Hamas + Yemen?
Anayeweza aivamie Israel waende full scale war si mnasema ni wanyonge.
Ila hizo pager hadi raia wanatumia.Hezbollah wanatumia pager kwa sababu simu ni rahisi kunasa mawasiliano,
Myahudi alimpiga nani wewe?UK ilipeleka wanajeshi wangapi?
USA nayo?
France nayo?
Wayahudi waliungana wakawatandika watoto wadogo. Walikuja kama utitiri wakapigwa na idadi kubwa ya vifaa na wanajeshi. Myahudi yuko pale ametulia na hatoki leo wala kesho. Na nchi itakayojitia kisebengo kumvamia, kama ni jirani anaikalia ardhi yake mpakani kwa mabavu.
Acha kupotosha wewe Israel ana vita nyingi kashindwa ikiwemo zile kabla ya 1948.Israel haijaanza kupigana na Waarabu na nchi nyingine huko Mashariki ya Kati jana wala leo. Hizi vita amekuwa akipigana hata kabla ya Yesu kuja duniani. Na mara zote amekuwa akiibuka mshindi pamoja na kwamba na yeye pia hupata madhara. Haijalishi anasaidiwa au hasaidiwi- Ushindi kwa Israel dhidi ya adui zake huwa ni kitu kiko wazi. Mnaweza kuongea vyovyote mnavyoweza, mkabeza, mkatukana nk. Lakini ukweli uilo wazi ni kwamba "Israel is there to stay no matter what happens" mpaka kusudi la Mungu litakapotimia.
Huwezi jibu maswali ya watoto wa darasa la pili. Ina maana uwezo wako kiakili ni wa mtoto kikojozi kabisa chekechea.
Unaona sasa ulivyo Pimbi?Enhe wamerekodi na hizi? Video na picha ziko wapi?
Hili shambulizi limegusa sana raia aisee.Wamekufa watu nane wakiwemo watoto wawili,majeruhi ni maelfu wakiwemo wahudumu wa afya ambao hutumia pager
Kabla hujashabikia kuhuzu israel kuipiga hezbollah lazima ujue kwamba makamanda wote israel wanmpinga netanyahu wazi wazi na kwamba anapigana sio kwa faida ya israel bali utashi wake wa kisiasa ikiwemo kukwepa kupelekwa mahakamani na kuendelea kukaa madarakaniHezbollah mtoto mdogo mbele ya Israel. Kichapo atakachopokea ni mama mkanye mwanao. Tulieni muone
Akili za Hezbollah wanazijua wenyewe Pagers ni simu kasoro Voice section na GPRS so just inatuma SMS tu! Wanasahau kuwa Processors karibia zote design at jerusalem🤣 Silicon Valley is heavily invested in Israel's chip talent. The only thing labda watumie Baragumu na pembe za wanyama kushea taharifa zao za siriHezbollah wanatumia pager kwa sababu simu ni rahisi kunasa mawasiliano,
Ajuza nasrallah bleed imeanza upya hukoo na amechafua pampaz zake hatari fayaUkiwa na uadui dhidi ya myahudi ujiandae kwa surprises kama hizi.
Wamewang'oa watu mbupu huko.😂😂😂
Israel wasenge sana!
watumie majini labda kuwasiliana...naangalia aljazeera naona wanaonyesha mabaki ya vipager vina maandishi ya infinix ultra zero 😝😃🤣😆 kama ni kweli basi dah mchina naye kaingiliwa na myahudiAkili za Hezbollah wanazijua wenyewe Pagers ni simu kasoro Voice section na GPRS so just inatuma SMS tu! Wanasahau kuwa Processors karibia zote design at jerusalem🤣 Silicon Valley is heavily invested in Israel's chip talent. The only thing labda watumie Baragumu na pembe za wanyama kushea taharifa zao za siri
Ila hujashangazwa na BM la Yemen Dak 11 kutoka Yemen mpaka Tel Aviv limepita meli 3 za marekani destroyer, Arrows , David sling na Iron dome.Napata wakati mgumu kutambua uwezo wa akili wa vijana wa Kiislam wanaoamini Yemen na Hezbollah wanaweza kupigana na Israel
alichofanya leo Israel, moja amevunja nguvu kazi ya Hezbollah, pili ameharibu mawasiliano waliyokuwa wakiaamini ni salama, tatu ni molari ya wanamgambo wa Hezbollah