Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Israel huwa inacheza na supply ya vifaa vya maadui zake. Hata miaka ya 1980s ilimuua mkuu wa kundi la kigaidi kwa kubadilisha simu yake na kumpa yenye bomu. Kisha wakampigia simu, wakatuma drone juu ikanasa amepokea ikaruhusu mlipuko akafariki.
Sure, moja ya strategy ya Israel ni kusupply vifaa hafifu kwa ubora au hatari kwa adui wake.
 
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!

Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager
a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen



View attachment 3098853View attachment 3098855

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​



Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.


Tuesday 17 September 2024 15:42, UK


Nimeiona wamepost Wall street journal ni hatari aisee
 
Sawa leo mmeshinda nyie washabiki wa Israel, hongereni. Sasa Israel imetangaza nafasi za kujiunga na jeshi kwa waafrica wanaotaka kwenda kuipigania Israel. Fanyeni hima nafasi ni chache yani 30000 tu, msituangushe ndugu zenu.
Mtakuwa mnatupa habari from the ground sio hapa JF tena
 
Zikiwa za ujasusi haziitwi drone? Mbona zipo surveillance drones kama RQ-4 Global Hawk hazina payload ya mabomu na makombora.

Majeshi kuna attack drone kama Predator na TB2.

Suicide drone kama Shahed, Lancet, Switchblade.

Surveillance na spy kama Global Hawk

Na nyinginezo
Kwani hoja nini!?.. tatizo unakimbilia mbali kiasi unasahau ulikotoka
 
Sawa Israel hana askari, ishambulie basi.
Mwaka 1973 wakati Israel ilikuwa na raia milioni tatu pekee ilishambuliwa na Egypt, Syria na wengine. Ilikuwa outnumbered 10 to 1, sembuse leo Israel ina raia almost milioni 10 ishindwe na wanamgambo wa Hezbollah + Hamas + Yemen?

Anayeweza aivamie Israel waende full scale war si mnasema ni wanyonge.
😂😂😂😃Mkuu unapotosha tena kuhusu 1973!?
Aya bana hongera.
Pia usifananishe 1973 na sasa.
Sasa hivi hao waarabu sio wanyonge tena.
 
UK ilipeleka wanajeshi wangapi?
USA nayo?
France nayo?

Wayahudi waliungana wakawatandika watoto wadogo. Walikuja kama utitiri wakapigwa na idadi kubwa ya vifaa na wanajeshi. Myahudi yuko pale ametulia na hatoki leo wala kesho. Na nchi itakayojitia kisebengo kumvamia, kama ni jirani anaikalia ardhi yake mpakani kwa mabavu.
Myahudi alimpiga nani wewe?
Kule Sinai peninsula si alikimbia na kuacha idadi kubwa ya mateka wa Israel?
Na hiyo vita ilipiganwa kati ya Syria, Egypt na Israel.
Egypt mpango wake ulifanikiwa ila Syria ulifeli.
 
Khatari sana Hezboullah wamewekewa makaa ya mawe wa moto uliokolea ndani ya mifuko ya mashati, kombati na suruali walizovaa, hawa mgambo chawa vikaragosi mamluki wa Iran wapata kipingo kikali

1726602096679.png
 
Israel haijaanza kupigana na Waarabu na nchi nyingine huko Mashariki ya Kati jana wala leo. Hizi vita amekuwa akipigana hata kabla ya Yesu kuja duniani. Na mara zote amekuwa akiibuka mshindi pamoja na kwamba na yeye pia hupata madhara. Haijalishi anasaidiwa au hasaidiwi- Ushindi kwa Israel dhidi ya adui zake huwa ni kitu kiko wazi. Mnaweza kuongea vyovyote mnavyoweza, mkabeza, mkatukana nk. Lakini ukweli uilo wazi ni kwamba "Israel is there to stay no matter what happens" mpaka kusudi la Mungu litakapotimia.
Acha kupotosha wewe Israel ana vita nyingi kashindwa ikiwemo zile kabla ya 1948.
KAMA UKITAKA SEMA TUKUTAJIE.
Hususan vita za kuanzia 2000 kuja 2024 takriban zote kashindwa.
Ukitaka sema tukutajie.
Washukuru tu USA,UK na Germany inawapa tafu.
Laa sivyo wasingetoboa hao.
Vita ya Oktoba 7 tu imewamalizia askari wengi sana na kuleta askari walemavu zaidi ya elfu sabini.
 
Huwezi jibu maswali ya watoto wa darasa la pili. Ina maana uwezo wako kiakili ni wa mtoto kikojozi kabisa chekechea.

Ni mpumbavu mwenzako ndio anaweza kukujibu wewe coz mtakua na akili same level,kuna aina ya maswali inakufanya umjue muulizaji kua ni Debe tupu.
Enhe wamerekodi na hizi? Video na picha ziko wapi?
Unaona sasa ulivyo Pimbi?
 
Hezbollah mtoto mdogo mbele ya Israel. Kichapo atakachopokea ni mama mkanye mwanao. Tulieni muone
Kabla hujashabikia kuhuzu israel kuipiga hezbollah lazima ujue kwamba makamanda wote israel wanmpinga netanyahu wazi wazi na kwamba anapigana sio kwa faida ya israel bali utashi wake wa kisiasa ikiwemo kukwepa kupelekwa mahakamani na kuendelea kukaa madarakani
Waziri wake wa vita benny gantz alimpinga waziwazi akajiuzulu na hadi sasa
As we speak waziri wa ulinzi wa sasa gallant nae anampinga waziwazi kwa kumwambia kwanza hawezi kupata total victory dhidi ya hamas na kwamba anadanganya ulimwengu
Maeneo yote aliyoyadhibiti gaza yote kwa sasahivi yamesharudi kwa hamas
Na sasahivi netanyahu anatishia kumfukuza gallant ingawa marekani anazuia hilo
Na lazima ujue kwamba israel kaishiwa wanajeshi sasahivi anachukua wahamiaji anawaingiza jeshini, sasa jiulize kupigana na mgambo kama hamas kaishiwa nguvu ,kwa hali ya sasa akipigana na hezbollah atapotea mazima atapigwa kipigo cha paka mwizi
Haya soma hapo taaria kutoka newyork times uelewe na uone makamanda wakuu wa isreal wanasemaje kuhusu netanyahu na uongo wake,uacha kushabikia kama zombie

 

Attachments

  • Screenshot_20240917-165808_Chrome.jpg
    Screenshot_20240917-165808_Chrome.jpg
    367.7 KB · Views: 1
Akili za Hezbollah wanazijua wenyewe Pagers ni simu kasoro Voice section na GPRS so just inatuma SMS tu! Wanasahau kuwa Processors karibia zote design at jerusalem🤣 Silicon Valley is heavily invested in Israel's chip talent. The only thing labda watumie Baragumu na pembe za wanyama kushea taharifa zao za siri
watumie majini labda kuwasiliana...naangalia aljazeera naona wanaonyesha mabaki ya vipager vina maandishi ya infinix ultra zero 😝😃🤣😆 kama ni kweli basi dah mchina naye kaingiliwa na myahudi
 
Napata wakati mgumu kutambua uwezo wa akili wa vijana wa Kiislam wanaoamini Yemen na Hezbollah wanaweza kupigana na Israel

alichofanya leo Israel, moja amevunja nguvu kazi ya Hezbollah, pili ameharibu mawasiliano waliyokuwa wakiaamini ni salama, tatu ni molari ya wanamgambo wa Hezbollah
Ila hujashangazwa na BM la Yemen Dak 11 kutoka Yemen mpaka Tel Aviv limepita meli 3 za marekani destroyer, Arrows , David sling na Iron dome.
 
Back
Top Bottom