Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Umeandika nini wewe lofa? Usie na akili hata nusu.We mwenyewe alikugegeda Jana ni
Bongo DNA zinachakachuliwa. Wanasema wanalinda masilahi ya mtoto. Kwaiyo kama uwezo unaruhusu nenda kapime Nairobi.Nasubiri mwanangu afike Chuo, next ni DNA, Hakuna shankaloka lugongo, kitanga hakizai haramu, nangoja tu nimsomeshe mpaka mwisho then DNA, Mama yake amwonyeshe Baba yake na wakajieleze Kwa mtoto wao vizuri!
NakaziaSafi,kitanda hakizai Haramu.
Kama hauna uchumi wa kueleweka usitegemee mwanamke akakusingizia mtoto kamwe
Ni fear of unknown tuNeno Mujarabu
Wasiogope Ni Kama Kulea Yatima Tu, UnabarikiwaNi fear of unknown tu
Unavunga tu maisha yasongeWasiogope Ni Kama Kulea Yatima Tu, Unabarikiwa
Pua wanaweza chukua ya mama yao!DNA nayo ni uongo kipimo sahii ni pua, bakuli na masikio.
Funika Kombe Wengine HawazalishiUnavunga tu maisha yasonge
Mleta mada kapotosha kidogo, hawajakuta 50% ni 39%.% Zimekua kubwa kwasababu, mpaka mwafrica anafanya DNA test basi ujue tayari kuna mapicha picha, na test inatumika ku confirm tu.
Ila ukifanya Randomly, mtaani sina hakika kama hata 40% utapata.
Au sio 🤣🤣🤣Kama hauna uchumi wa kueleweka usitegemee mwanamke akakusingizia mtoto kamwe
Vijana kabla ya kuoa walipaswa wafundishwe hekima ya kuvunga hata kama watachapiwa watoto humo ndoaniFunika Kombe Wengine Hawazalishi
Ni Jambo Zuri Sana, Maana Wanapayuka Wakifika Hospital Unakuta Mbegu HakunaVijana kabla ya kuoa walipaswa wafundishwe hekima ya kuvunga hata kama watachapiwa watoto humo ndoani