Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,714
- 4,074
We lea tu.
Ukute hata wewe huyo babako si halisi.
Kitanda hakizai haramu
Ukute hata wewe huyo babako si halisi.
Kitanda hakizai haramu
Hiyo naijua sana mama mtoto wangu nilishawahi mlalamikia kuwa huyu mtoto vipi , akaniambia nina pesa gani ya mpaka yeye anisingizie mtoto? Nikavunga nikamchukua mtoto mpaka leo hii nipo nae na nimepata somo😅Au sio 🤣🤣🤣
Na wakiambiwa huwa hawaukubali ukweli.Ni Jambo Zuri Sana, Maana Wanapayuka Wakifika Hospital Unakuta Mbegu Hakuna
Hana huruma huyo!Hiyo naijua sana mama mtoto wangu nilishawahi mlalamikia kuwa huyu mtoto vipi , akaniambia nina pesa gani ya mpaka yeye anisingizie mtoto? Nikavunga nikamchukua mtoto mpaka leo hii nipo nae na nimepata soma😅
Watoto wote ni wetu tu , sio wa tembo au sokwe ni wetu sisi wanaume wa kibadamu , tulee tu 😆Hana huruma huyo!
Mada haiongelei kuzaa nje ya ndoa, inaongelea paternity fraud, kwamba mwanamke ambaye yupo kwenye ndoa anazaa na mwanaume mwingine halafu anafanya udanganyifu kwamba baba mtoto ni huyu mwanaume alienae kwenye ndoaMleta mada kapotosha kidogo, hawajakuta 50% ni 39%.
Na hata kama hii selection bias isingekuwepo, hili jambo bado lisingeshangaza kwasababu wanaume nao wanazaa sana nje ya ndoa.
Hahahahahaaaaa wewe mwenyewe unamlea mtoto wa Mwajuma ndala ndefu ukidhani ni wa kwako.DNA nayo ni uongo kipimo sahii ni pua, bakuli na masikio.
Ulivyotaja Mwajuma nimeshutuka kidogo😅😅Hahahahahaaaaa wewe mwenyewe unamlea mtoto wa mwajuma ndala ndefu ukidhani ni wako.
Hahaha Meku hiyo kitu iskie kwa wengine tu. Masanja Mkandamizaji tangu igundulike kachapiwa na analea siyo wa kwake yani utagundua tu body language yake siyo sawa kama zamani yani analazimisha furaha mbele ya watu. Ndo maana nakataaga ndoa kwa sababu ya Karma.Watoto wote ni wetu tu , sio wa tembo au sokwe ni wetu sisi wanaume wa kibadamu , tulee tu 😆
Kama ni mke wako halali na kisheria chochote kitakacho zaliwa kupitia huyo mwanamke ni Mali yako Kigali kabisa.hii kitu inauma sana
View attachment 3533296
Basi bakuli na masikio.Pua wanaweza chukua ya mama yao!
hili ni suala mtambuka mkuu, na wanaume wangefanya maternity fraud kama ingekuwa inawezekanaMada haiongelei kuzaa nje ya ndoa, inaongelea paternity fraud, kwamba mwanamke ambaye yupo kwenye ndoa anazaa na mwanaume mwingine halafu anafanya udanganyifu kwamba baba mtoto ni huyu mwanaume alienae kwenye ndoa
hapana sihafiki hoja yakoKama ni mke wako halali na kisheria chochote kitakacho zaliwa kupitia huyo mwanamke ni Mali yako
Hahaha dah afadhali hiyo figure. Mkuu wewe na hiyo H-B 1 visa nadhani umezalisha na kuvuruga familia za wengi hapo kwa Trump.Mleta mada kapotosha kidogo, hawajakuta 50% ni 39%.
Na hata kama hii selection bias isingekuwepo, hili jambo bado lisingeshangaza kwasababu wanaume nao wanazaa sana nje ya ndoa.
Ni kulegeza ubongo tu hata yeye inawezekana sio wa baba yakeHahaha Meku hiyo kitu iskie kwa wengine tu. Masanja Mkandamizaji tangu igundulike kachapiwa na analea siyo wa kwake yani utagundua tu body language yake siyo sawa kama zamani yani analazimisha furaha mbele ya watu. Ndo maana nakataaga ndoa kwa sababu ya Karma.
Tena makapuku ndio wanaongoza kusingiziwa mimba maana mwanamke anazaa na mtu mwenye hela/anayempenda na kumtunza then mimba anabebeshwa kapuku anayejifanya kuijua ndoa, tajiri ni mara chache kusingiziwa mimba maana hawazalishi hovyo, pia wanajali mambo ya DNA alafu hawazai na maboya.Kama hauna uchumi wa kueleweka usitegemee mwanamke akakusingizia mtoto kamwe
Usipolegeza ubongo utakua pupu kwenye ndoo miaka 30 bwasheehapana sihafiki hoja yako