Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

Tushayaona mkuu. Hata wazee wako nina imani wanaelewa hii, ukiwauliza watakufafanulia.
Kwamba kauli uitoe wewe halafu nikapate ufafanuzi kwa wazee wangu, kwanini usitufafanulie wewe ambae umeleta hiyo kauli hapa jukwaani. Unataka kuhalalisha paternity fraud?

Ufafanuzi niliupata kutoka kwa mzee wangu kuhusu haya masuala aliniambia, endapo nikazaa mtoto nje ya ndoa nisimtelekeze niakikishe anawajua ndugu zake, na endapo mke akinicheat(not to mention kunibambikia mtoto) nimtimue hapo hapo bila mjadala wala kusikiliza ushauri wa mtu yoyote.
 
Hii partenity fraud nafikiri mara nyingi inatokana na wadada kuolewa na wanaume wasiowapenda, mdada anamaliza secondary au chuo, katoka familia maskini au ya kawaida, kitaa maisha magumu ajira hana, mtaji hana, anatongozwa na mwanaume ambae sio mchoyo kwenye kuhudumia, kidume kidogo kajipata kibiashara, au kapata kazi za ajira portal, paap mwanaume kajichanganya katangaza ndoa, kumbe bidada ana mwanaume ambae kimuonekano ni type yake, ila huyo mwanaume ni poor & jobless

Hapo ulieoa, umeshikishwa mtoto, hujashikishwa mtoto😁, kwenye mazingira hayo risk ya partenity fraud ni kubwaa Natafuta Ajira Miss Natafuta binti kiziwi financial services Hulda-Tamarri Joanah Joannah
 
Hayo mambo huwa kila mtu ana maamuzi yake bwashee
 
matatizo gani hayo?
kama sio umalaya wao tu.
Usifikiri kila nyumba zinajengwa tu kwa matofali ya kawaida ya block, kuna muda tunaamua kuyachoma ili yaimarike zaidi.

Hamtoambiwa kila kitu kwa sababu ya mentality zenu.
 
Hii partenity fraud nafikiri mara nyingi inatokana na wadada kuolewa na wanaume wasiowapenda, mdada anamaliza secondary au chuo, katoka familia maskini au ya kawaida, kitaa maisha magumu ajira hana, mtaji hana, anatongozwa na mwanaume ambae sio mchoyo kwenye kuhudumia, kidume kidogo kajipata kibiashara, au kapata kazi za ajira portal, paap mwanaume kajichanganya katangaza ndoa, kumbe bidada ana mwanaume ambae kimuonekano ni type yake, ila huyo mwanaume ni poor & jobless

Hapo ulieoa, umeshikishwa mtoto, hujashikishwa mtoto😁, kwenye mazingira hayo risk ya partenity fraud ni kubwaa Natafuta Ajira Miss Natafuta binti kiziwi financial services Hulda-Tamarri Joanah Joannah

Asee nje ya mada manake mada yenyewe hainihusu

Umemtag Joannah nimemkumbuka sijamuona hapa jukwaani kitambo
 
Hayo mambo huwa kila mtu ana maamuzi yake bwashee
Sikatai maamuzi ya mtu ndio maana nikaomba ufafanuzi. Mama/dada akanijibu niongee na wazee. Moja ya wazee walionipa miongozo ni mshua ambapo nikiunganisha nukta sioni msingi wa alichoniambia kama kinalingana na anachosema mama/dada angu uko juu. Ndio maana nikaomba ufafanuzi, bahati mbaya naona anazunguka mbuyu
 
Kwamba kauli uitoe wewe halafu nikapate ufafanuzi kwa wazee wangu, kwanini usitufafanulie wewe ambae umeleta hiyo kauli hapa jukwaani. Unataka kuhalalisha paternity fraud?

Ufafanuzi niliupata kutoka kwa mzee wangu kuhusu haya masuala aliniambia, endapo nikazaa mtoto nje ya ndoa nisimtelekeze niakikishe anawajua ndugu zake, na endapo mke akinicheat(not to mention kunibambikia mtoto) nimtimue hapo hapo bila mjadala wala kusikiliza ushauri wa mtu yoyote.
Unanifurahisha sana mkuu.
Anyways...sawa. huo ufafanuzi uliopewa nadhani unakufaa sana.
 
Hii partenity fraud nafikiri mara nyingi inatokana na wadada kuolewa na wanaume wasiowapenda, mdada anamaliza secondary au chuo, katoka familia maskini au ya kawaida, kitaa maisha magumu ajira hana, mtaji hana, anatongozwa na mwanaume ambae sio mchoyo kwenye kuhudumia, kidume kidogo kajipata kibiashara, au kapata kazi za ajira portal, paap mwanaume kajichanganya katangaza ndoa, kumbe bidada ana mwanaume ambae kimuonekano ni type yake, ila huyo mwanaume ni poor & jobless

Hapo ulieoa, umeshikishwa mtoto, hujashikishwa mtoto😁, kwenye mazingira hayo risk ya partenity fraud ni kubwaa Natafuta Ajira Miss Natafuta binti kiziwi financial services Hulda-Tamarri Joanah Joannah
Upendo ni illusion tu ambayo inaweza kubadilika kutokana na mabadiliko ya kisaikolojia, tabia n.k ndio maana kuna watu walioendana baadae wakaishia kuwa maadui.

Kwaiyo upendo unafundishika pia unaweza kutoweka. Hata kama unampenda mtu. Ukikata kabisa contacts kukawa hakuna chochote kinachowaunganisha kwa muda mrefu na upendo utaisha. Ndio maana ni hatari kuoa single mother, maana hata kama hawasiliani na baba mtoto, kila anampotazama huyo mtoto anamkumbuka mzazi mwenzake kwaiyo kuna kitu kinawaunganisha

Tukija kwenye suala la paternity fraud nafikiri chanzo cha tatizo ni mwanamke kutowajibishwa. Taratibu na miongozo tuliyojiwekea ni sawa tu na kusema mamlaka zimetoa ruhusa kwa wanawake kuwabambikizia watoto wanaume. Ndio maana mimi nikisikia mwanaume amekataa mtoto au mimba huwa sikulupuki kumlaumu kwa sababu najua jinsi mfumo ulivyosukwa kumbagaza mwanaume
 
Hiyo naijua sana mama mtoto wangu nilishawahi mlalamikia kuwa huyu mtoto vipi , akaniambia nina pesa gani ya mpaka yeye anisingizie mtoto? Nikavunga nikamchukua mtoto mpaka leo hii nipo nae na nimepata soma😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndoa nyengine kuna wanaume ambao hawawezi kubebesha mimba kwa sababu tofauti. Mara nyingi lawama zinaelekezwa kwa wanawake.
Katika hali hii wanawake hufanya maamuzi ya kubeba mimba kwa mtu mwengine na kumuaminisha mumewe kwamba mimba ni yake.
 
70perc wa mtaan
Wa jf
80perc

Naomba topic closed usifike hukoo mkuu wangu wengine wana watoto wako chuo hawajamaliza chuo usifanye wakaosh ia kati
 
BORA WATOKEZEE HATA NA RANGI ZENU AMA ZA BABU MZA BIBI 😄 🤣 😂
PURE BLACK WAZAZI WHITE UTAJUA H U JUI

M KWAKWELI HUKO SITAKI KUFIKA NA MTOTO MFUPI AMECHUKUA UFUPI WA BABU YAKE [MKWE] RANGI AKATUKUMBUKA

NA KAZI INAENDELEAA
 
Mwenyewe ninaweza kuwa na mwanangu kwenye ndoa ya mtu!!
Hii dhambii usipende sana mkuu else umeamua kujilipua
Pale sinza nawajuq jamaa wanne wameliwa kibudu sana kisa wake za watu na mmoja alijiua

Ukiwahitaji njoo jf wana thread zao kabisa sio wa kwenye ndoa shehe

Mambo ya kupigana vid umri huu unapigwa shemdedee soo kabisa

Na ukute jamaa anasoma post za
didy jukwa letu
kula sana soinach
sinamon
tunguusaumu
garlic
Fenel seed
bamiasana ndugul ufanikishe

Kuongeza nguvu za afcon
Kuchelewa kutoa penalty
Na kuondoa timu uwanjan

Walahi utajuta kuzaliwa shehe
 
Back
Top Bottom