Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

Hivi unajua hata wanaume wakizaa nnje ya ndoa na wanawake huwa wanaumia pia ? Ila ni busara tu zinawafanya kuvunga?
Kuna tofauti mkuu. Kesi za mwanaume kuzaa nje ya ndoa mwanamke tangu mwanzo anajua huyu mtoto wa nje maana mwanaume abebi mimba. Ila kesi za paternity fraud mwanaume anajua ni mtoto wake kuanzia mwanzo akija kujua sio mtoto wake ni baadae sana ameshawekeza hela, muda na hisia kwa mtoto.
 
hakuna cha busara,

lakini hilo la kupima DNA na kukuta chance ya kuwa baba ni 0.0% halivumiliki hata kidg
 
Kuna tofauti mkuu. Kesi za mwanaume kuzaa nje ya ndoa mwanamke tangu mwanzo anajua huyu mtoto wa nje maana mwanaume abebi mimba. Ila kesi za paternity fraud mwanaume anajua ni mtoto wake kuanzia mwanzo akija kujua sio mtoto wake ni baadae sana ameshawekeza hela, muda na hisia kwa mtoto.
Huwa wanaumia , kuna dada mmoja mume wake anao uwezo wa kifedha mno, mzee kamchapia mama watoto wa tano nnje,mama kugundua akalipiza kwa kumchapia mzee wawili na mzee hajui kitu ila sisi ndugu zake na huyo bibie tunajua na anadai ni machungu tu.

Wanawake huwa wanavisasi vya akili sana ila sisi visasi vyetu huwa ni vya kukurupuka na mihemko.
 
hapo ni GG haina shida
 
hata zamani wazee wetu walizalisha nje ili kubadili generation yao kwanzia akili, maumbile,Genes,kutanua ukoo..nk

min -me
 
Mimi huwa napinga ndoa kwa sbabu najua sina hekima yakutosha ya kuitunza ndoa😆 kwenye ndoa unatakiwa uwe na kifua haswa na kuchapiwa ni jambo la kawaida mno
Ok kuchapiwa ni kawaida

NB;asikilete damu ambayo sio yako na magonjwa.
 
Back
Top Bottom