Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

Uongo uongo wa kifala unafanya watu wachomwe na gunia za mkaa.

Kusingizia mtu ni Jambo baya Sana. Kinyongo chake kutoka no kuondosha alichosingiziwa mtu.
 
Hii partenity fraud nafikiri mara nyingi inatokana na wadada kuolewa na wanaume wasiowapenda, mdada anamaliza secondary au chuo, katoka familia maskini au ya kawaida, kitaa maisha magumu ajira hana, mtaji hana, anatongozwa na mwanaume ambae sio mchoyo kwenye kuhudumia, kidume kidogo kajipata kibiashara, au kapata kazi za ajira portal, paap mwanaume kajichanganya katangaza ndoa, kumbe bidada ana mwanaume ambae kimuonekano ni type yake, ila huyo mwanaume ni poor & jobless

Hapo ulieoa, umeshikishwa mtoto, hujashikishwa mtoto😁, kwenye mazingira hayo risk ya partenity fraud ni kubwaa Natafuta Ajira Miss Natafuta binti kiziwi financial services Hulda-Tamarri Joanah Joannah
Waache walee kitanda hakizai haramu. 😅

NB: Hii mada hainihusu hata.
 
Ndio kusema kila mtu anakula asipopeleka mboga. Yaani ndani mwangu, mtoto si wangu, na ndani mwake mtoto si wake. Mwanangu wa fulani anacheza na mwanae wa mwanangu.

Huu mchezo unafurahisha sana.
 
Wazee wa zamani walijipa moyo kitanda hakizai haramu, il ma vijana wa siku hizi hawataki kulea mabao ya wenzao,ndio mana US kuna movement ya Mandatory Perternity test, yaani mtoto akizaliwa baba hatakiwi kusaini cheti cha mtoto mpaka ipimwe DNA.
 
Hivi unajua hata wanaume wakizaa nnje ya ndoa na wanawake huwa wanaumia pia ? Ila ni busara tu zinawafanya kuvunga?
Ila huwezi kufananisha na mwanaume, sababu bado atajikamua kiuchumi kumlea huyo mtoto ambaye sio wake na hata akizaa nje still bado atawajibika. Ila mke akipata mimba nje ya ndoa hilo ni zigo la mme wake.
 
Back
Top Bottom