Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

Tena makapuku ndio wanaongoza kusingiziwa mimba maana mwanamke anazaa na mtu mwenye hela/anayempenda na kumtunza then mimba anabebeshwa kapuku anayejifanya kuijua ndoa, tajiri ni mara chache kusingiziwa mimba maana hawazalishi hovyo, pia wanajali mambo ya DNA alafu hawazai na maboya.

Masikin akipata tu kimwanamke chochote anawaza ndoa wakati hana pesa za matunzo, kwanini usibambikiziwe?
Hili nalo neno😃 ila mwanamke anaesingizia mtoto kapuku nae hamnazo
 
sasa hio itakuja ni akili gani??
Ukigundua utafanyaje? Na mtoto amejenga bond na wewe na kuficha aibu ya kuchapiwa na kuokoa ndoa yako ibaki salama?

Utafanya vipi maamuzi ya hekima bila kumwathiri mtoto na wewe pia
 
hili ni suala mtambuka mkuu, na wanaume wangefanya maternity fraud kama ingekuwa inawezekana

haya ndo yale mambo yanayoumiza sana ila hayawezi kukoma
Changamoto zipo nyingi na hatuwezi kuziongelea zote kwenye thread moja. Kwaiyo mada inayohusu paternity fraud tujadili kuhusu paternity fraud. Ikija mada inayohusu maternity disputes tutajadili kuhusu maternity disputes. Tukitaka kuchanganya vyote kwa pamoja tutakuja na ile conclusion ya kutumia kosa kuhalalisha kosa jingine
 
😄😄 hizi mada hauwezi kosa
 
Ukigundua utafanyaje? Na mtoto amejenga bond na wewe na kuficha aibu ya kuchapiwa na kuokoa ndoa yako ibaki salama?

Utafanya vipi maamuzi ya hekima bila kumwathiri mtoto na wewe pia
As a man...mtoto anatakiwa kuonyesha baba yake mzazi haraka iwezekanavyo na mke ambae sasa ni hoe anatikiwa kwenda kwa mumewe haraka.

kuanza upya sio ujinga right?
 
Changamoto zipo nyingi na hatuwezi kuziongelea zote kwenye thread moja. Kwaiyo mada inayohusu paternity fraud tujadili kuhusu paternity fraud. Ikija mada inayohusu maternity disputes tutajadili kuhusu maternity disputes. Tukitaka kuchanganya vyote kwa pamoja tutakuja na ile conclusion ya kutumia kosa kuhalalisha kosa jingine
Sijahalalisha chochote nimekuonesha tu kwamba hili jambo ni paradox—halina ukweli, halina uongo, na halina suluhu.
 
As a man...mtoto anatakiwa kuonyesha baba yake haraka iwezekanavyo na mke ambae sasa ni hoe anatikiwa kwenda kwa mumewe haraka.

kuanza upya sio ujinga right?
Utaanza upya kila siku bwashee
 
Nimeona Dw wanasema Zambia karibu 50% ya Dna test zinazofanyika wanakuta akina baba sio waliozalisha.

Hapa Tanzania ni zaidi ya 70% kaa na akina mama au akina dada watakupa ukweli wa mambo.

Hapa Bongoland hali ni mbaya zaidi kwa akina mama kupigwa nje kwa sababu mbalimbali.
ILIANZQ ADAM NA HAWA

SEMBUSE WEWE
 
Back
Top Bottom