Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

Uongo uongo wa kifala unafanya watu wachomwe na gunia za mkaa.

Kusingizia mtu ni Jambo baya Sana. Kinyongo chake kutoka no kuondosha alichosingiziwa mtu.
 
Waache walee kitanda hakizai haramu. 😅

NB: Hii mada hainihusu hata.
 
Ndio kusema kila mtu anakula asipopeleka mboga. Yaani ndani mwangu, mtoto si wangu, na ndani mwake mtoto si wake. Mwanangu wa fulani anacheza na mwanae wa mwanangu.

Huu mchezo unafurahisha sana.
 
Wazee wa zamani walijipa moyo kitanda hakizai haramu, il ma vijana wa siku hizi hawataki kulea mabao ya wenzao,ndio mana US kuna movement ya Mandatory Perternity test, yaani mtoto akizaliwa baba hatakiwi kusaini cheti cha mtoto mpaka ipimwe DNA.
 
Hivi unajua hata wanaume wakizaa nnje ya ndoa na wanawake huwa wanaumia pia ? Ila ni busara tu zinawafanya kuvunga?
Ila huwezi kufananisha na mwanaume, sababu bado atajikamua kiuchumi kumlea huyo mtoto ambaye sio wake na hata akizaa nje still bado atawajibika. Ila mke akipata mimba nje ya ndoa hilo ni zigo la mme wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…