Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Ingekuwa vyema kama we ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.
Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
Ha ha ha
[emoji23][emoji23][emoji23] umenena DadaIngekuwa vyema kama we ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.
Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
Kasema yale maji ni mengi eti.Mimi pia nimewaza hivyo jamaa angekunja suruali yake anambeba mke wake, walee wanaondoka huyu jamaa kafeli big time [emoji2][emoji2][emoji2]
Kipindi hiki cha Corona ni maji marefu sana hayo mtaniIngekuwa vyema kama we ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.
Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
Ni kweli kabisa ila mabadiliko hua yanaanza na mtu binafsi, wewe umefanya nini ilikutengeneza mabadiliko au unashauri nini maana wengi Tanzania ni washauri, wakosoaji na waongeaji wazuri tunakwama utendaji kazi.
Au angekaa nyuma ili aliembeba mkewe awe mbele,hii kidogo inakuwa na tija...Ingekuwa vyema kama we ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.
Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
Oooh. Sawa Mtani.
Kashasema yeye ni wa Dar na anaelekea kijijini,yaani ni mwanaume wa Dar...
Niajiri bossNimefungua biashara zaidi ya tatu Tanzania, nimeajiri watu, na bado naendelea kufungua, wafanyakazi wangu wanaofanya vizuri kila mwaka wanakula safari kwenda nchi za nje Dubai, USA, Korea, Hong Kong, kula bata wapate exposure. Na mshahara nalipa vizuri sana kulingana na kazi wanayoifanya, ila they make profit so its a win win, ukiingia ofisi yangu yoyote ile watakupokea ka mfalme, top notch service unapewa na kahawa kabisa wakati unasubiri hata kama hutoi pesa ili siku nyingine urudi. Kila kitu kinaendeshwa na computer, ofisi zote zina unlimited internet, software zote zinazorun my companies nimetengeneza mwenyewe.
So yah, I'm doing something, ila mtu moja hawezi badilisha nchi nzima. Mindset ya wengi inasikitisha sana bongo
Safi sana ndugu nafurai kusikia ivo, ni mfano mzuri sana wa mabadiliko na una mawazo chanya "Positive mind" Umewekeza katika soko (Industry) gani?. Naisi kama (Travel and Tours)Nimefungua biashara zaidi ya tatu Tanzania, nimeajiri watu, na bado naendelea kufungua, wafanyakazi wangu wanaofanya vizuri kila mwaka wanakula safari kwenda nchi za nje Dubai, USA, Korea, Hong Kong, kula bata wapate exposure. Na mshahara nalipa vizuri sana kulingana na kazi wanayoifanya, ila they make profit so its a win win, ukiingia ofisi yangu yoyote ile watakupokea ka mfalme, top notch service unapewa na kahawa kabisa wakati unasubiri hata kama hutoi pesa ili siku nyingine urudi. Kila kitu kinaendeshwa na computer, ofisi zote zina unlimited internet, software zote zinazorun my companies nimetengeneza mwenyewe.
So yah, I'm doing something, ila mtu moja hawezi badilisha nchi nzima. Mindset ya wengi inasikitisha sana bongo
Hahah Mtani kusema ukweli siwezi kubebwaOooh. Sawa Mtani.
Hivyo Mtani hata na weye ungebebwa?
Kama wanaume wenzako wanapita wewe unabebwa bebwa Nini???Kutoka dar mpaka kijijiniView attachment 1426076View attachment 1426077
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa lazima atakuja kumla mkeoKutoka dar mpaka kijijiniView attachment 1426076View attachment 1426077
Sent using Jamii Forums mobile app