geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
Happy bday Mahondaw......Jamani niulizeni mengine kunihusu mimi tu pullliiizz! Kama hakuna basi nawashukuru wote. Akhsanteni namuwe na jioni njema!! Aure voir!
Kama umeolewa na ndoa imeleta majibu(watoto wawili) , ina maana mshikaji wetu Smart911 alikuwa ni mchepuko tu[emoji848]Yes am married na nina two kids.
[emoji23] [emoji1787] Dah!! Walimwengu[emoji23]kuna siku nilicomment hizi cc inaonekana mna stress ww na smart wako....ulinijibu vibaya sana hatimaye mmeachana safi sana ........
no more cc tena sasa hivi nikiona cc najua ccm
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Dah!! Ku....Make walai.. Shikamooni wanawake. [emoji23]Khakhaa! Hapana. Ki jf Ilikua real and kiuhalisia I was cheating on mzee wa miongozo hakujua kama nimeolewa nauongo mwingine mwingi tu.
Sawa nimeacha.
Na wanasifiwa kabisa muda wowote anapasha kiporo aiseeπHayo yamejaa mkuu wangu....
Aaagh tuvipende tu vitoto vyetu kwani WANATUZALIA HAO...π€£π€£
Kutwa mafua na vikohozi visivyokwisha kutokana na vumbi la Darfur...huku mabaharia wanatanua tu mpaka ATM machine looh π€£π€£π€£π€£
Swahiba umefanya nimecheka mwenyewe hadi wajomba wananishangaa hapa. πππMjeda yuko zake darfuri huku nyuma mabaharia wanamtafunia π,halafu unawaweza kukuta demu kadi ya bank anayo yeye akienda kutoa pesa anaenda na mchepuko wake π
Aiseee inauma....Na wanasifiwa kabisa muda wowote anapasha kiporo aiseeπ
π€£π€£π€£Malizia bana achana na davinci
Hatari fire swahiba πSwahiba umefanya nimecheka mwenyewe hadi wajomba wananishangaa hapa. πππ
OhoooooooooohhhhYule bi mkubwa alimind sana,sema alichukulia kikubwa akamove on
Kuna jamaa aliwahi kuazisha uzi humu kamwe hawezi kumnunulia mwanamke simu,inawezekana akawa mzee wa darfur yule mwamba πAiseee inauma....
Yaani unaacha manzi wote na kuamua kumuweka ndani mmoja baada ya KUSULUBIKA vya kutosha afu baharia anamegewa vile atakavyo...akituma SMS tu..."watu wamo" daah so sad ha ha ha
π€£π€£π€£Kuna jamaa aliwahi kuazisha uzi humu kamwe hawezi kumnunulia mwanamke simu,inawezekana akawa mzee wa darfur yule mwamba π
Shoo haya maneno mbona ivi amekufanyeje mkaka wawatu mpaka utumie lugha mbaya hivi?? He's very rich gentleman handsome muelewa sana asiekuwa na maneno makuu wala vurugu namtu, walaa si mzee kijana tu ambae hata wewe ukimuona nakumjua vizuri mate lazima yakutoke!Ha ha ha haki unanifurahisha unavyosifia [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Shoo haya maneno mbona ivi amekufanyeje mkaka wawatu mpaka utumie lugha mbaya hivi?? He's very rich gentleman handsome muelewa sana asiekuwa na maneno makuu wala vurugu namtu, walaa si mzee kijana tu ambae hata wewe ukimuona nakumjua vizuri mate lazima yakutoke!
Happy birthday mpendwaKumbe mahondaw best tumezaliwa siku moja, what a day to us!ππ
Heri ya siku ya kuzaliwa dear, Mwenyezi Mungu akutunze na kukupa kibali cha kuishi miaka tele.
Ili kufurahia siku yako, nenda dukani kwa Mangi hapo chukua Hennessey zitakazokutosha bill nitumie π
Happy birthday mate πΎπ₯