Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Zile 2-3 anniversaries na smart zilikuwa ni kabla ama baada ya ndoa yako ya sasa?

BTW happy birthday my dia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naona umempa 4+ halafu mechi ya fainali ngoja tuone
 
Acha wanaume tuwe na umri mfupi wa kuishi hapa duniani, tunakufa kwa mengi..

Btw, Happy Birthdate mpendwa!
 
Bado upo kwenye mahusiano na smart 4 G ?
 
Jamani niulizeni mengine kunihusu mimi tu pullliiizz! Kama hakuna basi nawashukuru wote. Akhsanteni namuwe na jioni njema!! Aure voir!
Hivi umetumwa na nini kuanzisha huu uzi! Happy birthday lakini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…