Yaani anaonekana kama kazaliwa 1978, hongera mama
 
Samia hoyeeeeee.....
 
Team January[emoji7]..
Mwenyezi Mungu aendelee kumtunza.
 
Binafsi simpendi tu. Yaani simpendi tuu.
Na wewe nani anakupendaa utakufa nacho kijiba cha Moyo .Ukimpenda Usimpende ndio Raisi wetu wewe ni katika qaumu ya Firauni na muko wengi sana lkn hamuwezi kufanya chochote chuki zenu ndio maradhi yenu.
 
Tupe sababu za yeye kuwa mfano wa kuigwa, ugombea wena wa urais hujipendekezi, hujiteui wala hugombei, sasa mfano unaanzia wapi?
 
Happy birth day Madam Raisi. Allah akulinde na Mahasidi wanapohusudi ,akulinde na shari za ndani na nje ,akulinde wenye chuki na hiqdi na qarhaa juu yako .Allah awaangamize wale wote waliokusudia ubaya juu yako awajaalie vitendo vyao vyenye kupotea .
 
Tulio zaliwa tarehe moja na chief Hangaya tujuane jamaniii..Happy birthday to me[emoji3059][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…