Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu
Happy birthday to our Madame President

2A8C0E2B-0453-4CA7-9CE0-1EFB71DCB753.png
 
Binafsi simpendi tu. Yaani simpendi tuu.
Habari njema ni kuwa ye anafurahia mno hali hiyo ya kutopendwa na wewe kuliko ungempenda! Alipofika ukoo wenu utamaliza maisha yao hapa duniani bila kufikia hata robo
 
Mungu hawezi kumjaalia huyu LAANAKUM wa kike.
Amelaaniwa DUNIANI na Mbinguni.
Hahahahahaaaaaa!
Ukimsikia anayekukimbiza ameanza matusi basi ujue ameshashindwa huyo, we ongeza mbio tu.

Go Mama Samia, Go!!!! Wameshadebweda huku!
 
Hapa tunamuimbia... MAMA YETU MAMA MAAAMAAAMAAA MAMA SAMIA MAMA.. hbday bi mdashi enyoy kitu kikuu MAMA
 
Two wrongs don't make a right.A simple logic but hard to understand.

Fisadi Bwana Chato kupewa salamu za happy birthday haihalalishi fisadi Hangaya kupewa salamu za happy birthday.Two wrongs don't make a right.
Haya bhana
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nchi haijengwi na mtu mmoja, bali kila mtanzania anatakiwa kufanya kazi kwa nafasi yake katika kuijenga Tanzania

Amesema hayo alipokuwa anaongea katika Televisheni ya Taifa, ambapo amesema Tanzania ni moja, watakaoijenga au kuibomoa ni watanzania wenyewe

Rais Samia leo, Januari 27 anasheherekea siku yake ya kuzaliwa
 
Rais angekua na hotline tuwe tunaongea naye moja kwa moja
 
Back
Top Bottom