Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu
Mmh, Sasa Kama wewe upo chadema na kuna wanaccm wanaomchukia mwenyekiti wao wewe inakuhusu nini?
Hainihusu ila basi tu namtetea samia angalau ana utu kuliko yule shetwani mwendazake.
 
Tatizo la Mbowe sijui hiyo katiba mpya alikua ana haraka nayo ya nini kwenye awamu hii, katiba ya zamani haifutwi sasa unadhani hiyo mpya wata ifuata? Nadhani Mbowe ana taka madaraka tu.

Kingine ni kwamba alikua ana pima kina cha maji, wakati wa Magu alikua kimya.
Namuombea atoke ili aendeshe siasa za kistaarabu.
Tumia akili zako ulizopewa na Mungu bure kufikiria sawasawa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hainihusu ila basi tu namtetea samia angalau ana utu kuliko yule shetwani mwendazake.
Mwendazake bado anakuchapa hata baada ya kufa?

Samia na ccm wote wataungana kuwapelekea moto 2025 au nyie mmeshamtelekeza Lisu mmeungana na mama?
 
Sijahama ila maccm wanaomchukia Samia ni maadui zangu.
Hao unaofikri wanamchukia wataungana nae kukupelekea moto wewe, lisu na chadema 2025!

Au wewe umeshamsaliti Lisu uko na mama?
 
Hainihusu ila basi tu namtetea samia angalau ana utu kuliko yule shetwani mwendazake.
Ndio hayo maajabu sasa, wewe upo chadema na huko kuna kiongozi ana miezi 5 yupo jela kwa kosa la kubambikizwa. Aliyembambikiza unasema ana utu
 
Mwendazake bado anakuchapa hata baada ya kufa?

Samia na ccm wote wataungana kuwapelekea moto 2025 au nyie mmeshamtelekeza Lisu mmeungana na mama?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mama anawanyoosha sukuma gang! Katafuteni shughuli za kufanya
 
Tatizo la Mbowe sijui hiyo katiba mpya alikua ana haraka nayo ya nini kwenye awamu hii, katiba ya zamani haifutwi sasa unadhani hiyo mpya wata ifuata? Nadhani Mbowe ana taka madaraka tu.

Kingine ni kwamba alikua ana pima kina cha maji, wakati wa Magu alikua kimya.
Namuombea atoke ili aendeshe siasa za kistaarabu.
Kama katiba ya sasa haifuatwi, mbona Samia kapata Urais kwa Katiba hii hii ..... pamoja na uvunjaji wa sheria bado katiba wanaifuata. Tatizo ni mamlaka makubwa waliyojipa kwenye hiyo katiba .... yakiondolewa wataifuata hiyo katiba.
 
Tatizo la Mbowe sijui hiyo katiba mpya alikua ana haraka nayo ya nini kwenye awamu hii, katiba ya zamani haifutwi sasa unadhani hiyo mpya wata ifuata? Nadhani Mbowe ana taka madaraka tu.

Kingine ni kwamba alikua ana pima kina cha maji, wakati wa Magu alikua kimya.
Namuombea atoke ili aendeshe siasa za kistaarabu.
Kwani Magu na ubabe wake Yuko wapi Siku hizi?

Vanity
 
Wenye akili fupi kama zakwako mnajua kakomeshwa
Una shida kweye kichwa chako?
Umesema mama anakomesha sukuma gang, nikakuambia Sasa hivi amemgeukia na mbowe nae anakomeshwa.
ukasema mbowe atatoka, nikakueleza hadi atoke atakua kishakomeshwa kwa muda wote huo aliokaa.
Au tafsiri ya mtu kukomeshwa ni ipi?
 
Tunakuombea busara na maisha marwfu yenye afya Mheshimiwa Raid wetu
 
Acha kumpa ujinga Wewe mwanaume na watoto unakubali kuongozwa na mwanamke?
 
Back
Top Bottom