Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu
kazi na iendeleee HARPY BIRTHDAY MHESHIMIWA RAISI
 
Hua naiona email tu ambayo haijibiwi
Hata mimi nimetuma email kwa viongozi wa 3 hazijibiwi, na number ya Tamisemi waliyotoa watsaap nayo haijibiwi, very sad, hepi bethidei mama yetu
 
Habari njema ni kuwa ye anafurahia mno hali hiyo ya kutopendwa na wewe kuliko ungempenda! Alipofika ukoo wenu utamaliza maisha yao hapa duniani bila kufikia hata robo
Wewe unayempenda bila shaka ukoo wako tayari umefika nusu ya alipofika. Hongereni.
 
Na wewe nani anakupendaa utakufa nacho kijiba cha Moyo .Ukimpenda Usimpende ndio Raisi wetu wewe ni katika qaumu ya Firauni na muko wengi sana lkn hamuwezi kufanya chochote chuki zenu ndio maradhi yenu.
Kijiba cha moyo changu. Yeye mwenyewe anajua kuna wasiompenda. Cha ajabu unaumia wewe! Aisee! Kwani yeye ni mama yako aliyekuzaa!? Chawa wewe.
 
Mungu amjaalie miaka 40 mbele ,itakuwa imemtosha kabisa!!

Kila la kheri kwako rais wetu mpendwa
 
Sina kawaida ya kuwachukia waliofanikiwa
Kufanikiwa kwake inawezekana kuna faida kwako, lakini inawezekana hakuna faida kwa wengine kwa hiyo kutompenda ni haki yao.
 
Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar.
...
sawa ila kumbuka umri unavozidi kuongezeka na kaburi linazidi kukusogelea.
 
Back
Top Bottom