Harmonize kavuka mipaka. Mlie karibu na huyu mtu mshaurini vizuri

Elimu,elimu,elimu!
Mambo mengi yanaigwa bila kuzingatia mila na utamaduni wetu.
Msanii wa afrika akisifiwa anaenda kusuka nywele,kutoboa masikio na kuvaa hereni,yaani anaelekea kufanya mambo yasiyokuwa na mwelekeo na mila na tamaduni zetu.
Wasanii wetu wajifunze kujiweka katika hadhi inayokubalika.
 
Naunga mkono hoja
 
Sasa kama watu wake wa karibu ni kina h baba unategemea nnπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

We ni Bwabwa sio bure.
Nyie ndio wajinga ambao mnailazimisha jamii iyaone mambo ya kipuuzi na kishenzi kuwa mambo ya kawaida. Hivi mwanaume kuappear kwenye female form kwako wewe iko sawa tu ??
Hakuna cha ushamba wala ndugu yake na ushamba.! Harmonize amezingua pamoja wewe mwenyewe bwabwa lake
 
Huwezi kupangia watu kuishi unavyotaka wewe
Maoni yako siyo lazima yafanane na wengine kuwa huru kufanya na kuwaza unavyojiskia vibaya kuvunja Sheria tu

Msishughulike na mambo yasiyowahusu
ni uwezo mdogo tu wa kufikiri ndiyo mana afrika tunatajwa kuwa na IQ ndogo ni pamoja na mkusanyiko wa mambo Kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…