Harmonize kavuka mipaka. Mlie karibu na huyu mtu mshaurini vizuri

Haaaaa Haaaaa 😂
 

Shenzenu wote mnaoshabikia mambo ya kishoga..! Mnaoshabikia mambo haya ya kishenzi hatimaye mbaishiaga kulamba lolypop za wanaume wenzenu. You’re male, how comes do you get attracted to be/ look like female.! Pumbavu zenu wote mnaoshabikia ushoga ..! Hata nikipigwa Ban furrshii tu ila nawachukia sana nyie wangese mnaoshabikia huu utopolo. Bwabwa wewe
 
Anajaribu kufanya kila Diamond anachofanya kwa ukubwa.

Diamond anavaa heleni ndogo yeye kavaa kubwa.

Diamond kasaini wasanii 5 yeye kafikisha 7.

Diamond anasuka misuko 3 yeye kasuka 8.

Nk
Inaonekana unamfuatilia sana[emoji16]
 
Je unapinga lipi?
*Kuvaa hereni au kuvaa hereni kubwa?
*Kusuka au kusuka twende kilioni?
 
Nakazia kusema think capacity ya watu aina yenu ni ndogo ndiyo Maana umeishia kutukana tukana tu hovyo huna hoja ya hicho unachoongea
Sishabikii ushoga ila siwezi kuingilia maisha ya watu yasiyonihusu kwa namna yoyote ile wamekuwa hivyo kwa interest zao au wamekuwa hivyo kwa matatizo yao mengine hatuwezi kuwaua
Kwahiyo sikubali wala sikatai kwa kuwa Ni Mambo ambayo yako nje ya uwezo wangu
Sihusiki nayo na kwakila kitu
 
Afrika tuna tamaduni, tamaduni zetu haziruhusu mwanaume kutafuta mwonekano wa kike.

Natamani wasanii wetu wangeheshimu hilo, dunia itatuheshimu tukiheshimu tamaduni zetu.

Kuambiwa tuna Low IQ ni matokeo ya kuamini kuwa tamaduni za watu wengine ni bora kuliko zetu halafu tunapojaribu kurekebishana watu kama wewe wanatokea na kusema tunaingilia mambo ya watu.

Africa IPO nyuma sababu wazungu walikuja tukaachana na ya kwetu na kuamini ya kwao ni bora. Na mpaka sasa tunapambana na hilo.
 

Mkuu uko sahihi kabisa, yaani mtu hata akitembea uchi hawa wajinga watasema mnampangia kumwambia akavae nguo ili hali anachokifanya sio acceptable kabisa.
Mie nitaendelea ku attack post za hawa washenzi wanaotaka kutuharibia kizazi chetu.
 
Mkuu uko sahihi kabisa, yaani mtu hata akitembea uchi hawa wajinga watasema mnampangia kumwambia akavae nguo ili hali anachokifanya sio acceptable kabisa.
Mie nitaendelea ku attack post za hawa washenzi wanaotaka kutuharibia kizazi chetu.
Usiishie Ku attack, ukikutana na mmoja mfundishe kwa vitendo kuwa hatutaki mafundisho yanayofanania au kuchochea ushoga TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…