Kizazi kiharibike mara ngap, life style ndivo ilivoMkuu uko sahihi kabisa, yaani mtu hata akitembea uchi hawa wajinga watasema mnampangia kumwambia akavae nguo ili hali anachokifanya sio acceptable kabisa.
Mie nitaendelea ku attack post za hawa washenzi wanaotaka kutuharibia kizazi chetu.
Hahah... Huenda mzungu wake ndo anapendaNachukia sana anavopenda kucheza bila shati, na hivi ni kijeba
Kizazi kiharibike mara ngap, life style ndivo ilivo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndio mana wasaniii wakipata hela chakwanza kununua ni Gari,
haki nasema eti nipande public pembeni kasimama huyo dogo kavaa hilo hereni..
ntajitia nataka kudondoka halafu nashikilia hilo hereni nipate balance nisidondoke,naivuta haswaa..
Diamond alishuka na chopa yeye akadondoka kabisa.Anajaribu kufanya kila Diamond anachofanya kwa ukubwa.
Diamond anavaa heleni ndogo yeye kavaa kubwa.
Diamond kasaini wasanii 5 yeye kafikisha 7.
Diamond anasuka misuko 3 yeye kasuka 8.
Nk
Wakipita utafanyeje Boss?Ni kweli, klishaharibika tayari lakini sitaki hawa wajinga wapite mbele yangu na ujinga wao.
na nafanya makusudi ili aanzishe mjadala kila mtu amuone sijui atalalamika au ataacha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unataka sikio la mwenzio ikatike.
Diamond alishuka na chopa yeye akadondoka kabisa.
. Hahahaha uzuri upi sasaEmbu tuma hapa picha ya nywele zako nione zilivo nzuri
π€£π€£π€£π€£π€£Diamond alishuka na chopa yeye akadondoka kabisa.
Tamaduni za Afrika ni zipi?Afrika tuna tamaduni, tamaduni zetu haziruhusu mwanaume kutafuta mwonekano wa kike.
Natamani wasanii wetu wangeheshimu hilo, dunia itatuheshimu tukiheshimu tamaduni zetu.
Kuambiwa tuna Low IQ ni matokeo ya kuamini kuwa tamaduni za watu wengine ni bora kuliko zetu halafu tunapojaribu kurekebishana watu kama wewe wanatokea na kusema tunaingilia mambo ya watu.
Africa IPO nyuma sababu wazungu walikuja tukaachana na ya kwetu na kuamini ya kwao ni bora. Na mpaka sasa tunapambana na hilo.
Mkuu nakupobgeza kwa kuwaelimisha wapumbavu.Tamaduni za Afrika ni zipi?
Huwenda unayeongea hivi hujui hata tamaduni zako Kama muafrika ni zipi
Lakini hata kuvaa nguo sio utamaduni wetu Kama wewe unazingatia sana tamaduni anza na hilo dogo tu
Inabidi ufahamu kuwa dunia imebadilika sana na katika mabadiliko hayo kuna faida na hasara zake
Pia fahamu kwamba
Kuanzia serikali mpaka mtu mmoja mmoja
Hatujiendeshi kwa tamaduni zetu tunaiga karibu kila kitu
Kuna muingiliano mkubwa sana wa watu na tamaduni zao lakini afrika tu huwenda kuna tamaduni za kishenzi kuliko hata kwa hao wazungu
Hahahahahhahah fala sana.πππππππππππππππππAnajaribu kufanya kila Diamond anachofanya kwa ukubwa.
Diamond anavaa heleni ndogo yeye kavaa kubwa.
Diamond kasaini wasanii 5 yeye kafikisha 7.
Diamond anasuka misuko 3 yeye kasuka 8.
Nk