Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

Vanny amejua kumnyoosha mtu kwa facts. Yani harmonize english yake ni zaidi ya broken. Kweli bangi mbili anajikuta 2pac[emoji23]
 
Kwa kifupiii hawa hawastuiii tenaa, wakae watulize kende chini watoe ngoma kali.

Ajabu wanaume rijali wana chambana hivi, sasa mashoga na wanawake wafanyaje???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njomba nchumali anatamaa sana japo vanny nae ni madogo wajinga pia lakini kamshinda akili huyo mabange
 
Njomba nchumali anatamaa sana japo vanny nae ni madogo wajinga pia lakini kamshinda akili huyo mabange
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote ni hamnazo tyuuh. Wameishiwaa yaan.
 
chui aache ujinga wake......konde sio size yake kabisa akabishane na akina mr nice uko
 
Hawa kama mabinti wa miaka 18-20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…