Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Hahahaha 😆😆😆😂Pole mkuu. Mi waliniunga group la harusi simjui ata member mmoja wala bwana harusi.
Nikaahidi nitatoa laki 5 hafu nikaleft. Nilitafutwa aisee ova sio SMS sio kupigiwa. Akijitambulisha tu anakula block.
Tena wale wanaojiita wasomi ndiyo wapenda kuchangiwaHuyo kijana ni msomi wa level gani ya elimu? Aache ujinga wa kusumbua watu ili wamchangie kufanya harusi kwa kutegemea mifuko ya watu. Kwani akioa kimya kimya padri/mchungaji atamtenga na kumfukuza kanisani kisa kaoa gizani? Huu utamaduni wa kuchangia hurusi umepitwa na wakati na unaonekana ni usumbufu kuombaomba hela kwa watu wakati suala la kuoa ni la mtu binafsi na ni hiari. Hayo ni matumizi mabaya ya hela za watu, ni ufahari, anasa na starehe. Kwani bila michango ndoa hifungwi?
Umeongea jambo la msingi sanaHarusi zina kamati...ndo zinachangisha...wanaoana unaweza kuta hawana hata mbwembwe
kuna msela mmoja aliwaingiza chaka wachangiaji, alikusanya michango ya harusi akafungua duka kwa kugeuza michango ya harusi kuwa mtaji wa biashara. Harusi alienda kufungia bomani, yeye, mke wake na mashahidi wawili mchezo ukaisha hapoHawa makapuku ndo wanaotulazimisha michango ya double na single alafu ndani ya mwezi wanaachana...
Saivi mkiachana tunakuja kudai michango tuliyowapa
Ulitisha masta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole mkuu. Mi waliniunga group la harusi simjui ata member mmoja wala bwana harusi.
Nikaahidi nitatoa laki 5 hafu nikaleft. Nilitafutwa aisee ova sio SMS sio kupigiwa. Akijitambulisha tu anakula block.
Kwahiyo majizo na miradi ayo ndiyo vijana matajiri?