Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Duh nimecheka mno🙌🙌🙌Pole mkuu. Mi waliniunga group la harusi simjui ata member mmoja wala bwana harusi.
Nikaahidi nitatoa laki 5 hafu nikaleft. Nilitafutwa aisee ova sio SMS sio kupigiwa. Akijitambulisha tu anakula block.
Nalo nenoHarusi zina kamati...ndo zinachangisha...wanaoana unaweza kuta hawana hata mbwembwe
Michango ya Harusi ni Janga Kwa Taifa. Ujinga kabisa mtu unataka kuoa weka bajeti yako kusanya pesa usisumbue watu. Mtu anataka Harusi ya M15 wakati mfukoni hata mia hana, halafu watu wamchangie.Habari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu.
Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa.
Mbona vijana waliofanikiwa na wenye utajiri wa mali na utajiri wa watu na connections kali hawapendi mbwembwe wameoa kwa harusi za kimya kimya.
Millard Ayo ni kijana aliyefanikiwa mwenye utajiri wa kutosha tu. Marafiki anao kibao wa kuwachangisha, ila hakufanya hivyo wakati anaoa alioa kimya kimya harusi simple ya kwenda kanisani tu na mkewe kisha kila mtu kwake. Hakuna cha ukumbi wala cha Mc garab wala nani.
Majizo nae mmiliki wa efm hivyo hivyo alioa kimya kimya, yeye na lulu kanisani tu then kila mtu kwake.
Why na kina sisi vijana maskini hatujifunzi. Yaani mtu anachukua mkopo ofisini kwa ajili ya kufanikisha harusi.
Mtu anasumbua watu michango kisa harusi.
MASKINI TUNA UJINGA MWINGI SANA
Tupe elimu boss.....mana waafrika ustaharabu zero kabsaMkuu fanya Settings kwenye WhatsApp messenger yako ambapo hakuna yeyote atayeweza kukuunga kwenye group. Binafsi nimewakomesha kwa hilo. No stress za michango!
Kuna kitu kinaitwa compesation behaviour,MASKINI TUNA UJINGA MWINGI SANA
Wambea tuliwezwa, tukaambiwa ni tangazo, kumbe ni kweli kaoa.Weee waliwaweza wambea
1.Ingia kwenye WhatsApp messengerTupe elimu boss.....mana waafrika ustaharabu zero kabsa
Basi wana pesa za kuchezea, ni imani gan gao? Islamic??
Wakristo mara nyingi ndio wana mambo hayo mi kuna mmoja simjui wala hanijui alikuja ofisini ikawa kila siku anapita kukumbushia nikaona hii noma nikampa elfu 20 akapotea yaani Christian kila kitu kwao ni gharama mazishi gharama harusi gharama mpaka kero halafu wanasumbua watu mtaani na michango.Pole mkuu. Mi waliniunga group la harusi simjui ata member mmoja wala bwana harusi.
Nikaahidi nitatoa laki 5 hafu nikaleft. Nilitafutwa aisee ova sio SMS sio kupigiwa. Akijitambulisha tu anakula block.
Ni ujinga mwingi mnoo mkuu..Habari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu.
Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa.
Mbona vijana waliofanikiwa na wenye utajiri wa mali na utajiri wa watu na connections kali hawapendi mbwembwe wameoa kwa harusi za kimya kimya.
Millard Ayo ni kijana aliyefanikiwa mwenye utajiri wa kutosha tu. Marafiki anao kibao wa kuwachangisha, ila hakufanya hivyo wakati anaoa alioa kimya kimya harusi simple ya kwenda kanisani tu na mkewe kisha kila mtu kwake. Hakuna cha ukumbi wala cha Mc garab wala nani.
Majizo nae mmiliki wa efm hivyo hivyo alioa kimya kimya, yeye na lulu kanisani tu then kila mtu kwake.
Why na kina sisi vijana maskini hatujifunzi. Mw Yaani mtu anachukua mkopo ofisini kwa ajili ya kufanikisha harusi.
Mtu anasumbua watu michango kisa harusi.
MASKINI TUNA UJINGA MWINGI SANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuu.Ndio. Ni wale watu wanaotafuta sababu tu wafanye sherehe. Familia ya mashangingi wa uswahilini.
Mtoa mada una ujumbe mzito sana, vichwa laini hawatokuelewa!Habari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu.
Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa.
Mbona vijana waliofanikiwa na wenye utajiri wa mali na utajiri wa watu na connections kali hawapendi mbwembwe wameoa kwa harusi za kimya kimya.
Millard Ayo ni kijana aliyefanikiwa mwenye utajiri wa kutosha tu. Marafiki anao kibao wa kuwachangisha, ila hakufanya hivyo wakati anaoa alioa kimya kimya harusi simple ya kwenda kanisani tu na mkewe kisha kila mtu kwake. Hakuna cha ukumbi wala cha Mc garab wala nani.
Majizo nae mmiliki wa efm hivyo hivyo alioa kimya kimya, yeye na lulu kanisani tu then kila mtu kwake.
Why na kina sisi vijana maskini hatujifunzi. Yaani mtu anachukua mkopo ofisini kwa ajili ya kufanikisha harusi.
Mtu anasumbua watu michango kisa harusi.
MASKINI TUNA UJINGA MWINGI SANA
Depal Depal Depal Aikoooooooooooooooooooooo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 njoo unione nimelazwa Benjamini MkapaHaha safi . Hii ilinitokea wakati ndo nimemliza shule za juu juu , jamaa etu anajua kabisa sisi bado apeche alolo katuweka kwenye kamati eti tuanze kuahidi nyie mnaita kupledge sijui mi nikawambia Mr Emmanuel andikeni laki nne .. yule jamaa angu akanifata inbox et kua serious mwanangu. Nikamwambia serious uanze kuwa wewe , Katibu wa ile kamati alikua ni mdada mmama majibu niliyokuwa nampa aliona bora aachane na mimi tu na kejeli nyingi kwamba unaahidi halafu kumbe masikini tu. Nikamjibu masikini baba ako